Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Habari yako mkuuKamshirikishe kiongozi wako wa dini hiyo hali, poles sana
Habari yako mkuuKamshirikishe kiongozi wako wa dini hiyo hali, poles sana
Na mimi naomba ushahuriYawezekana kuna kitu kinakunyima amani ndiyo maana wafikiria yote hayo.
Jaribu kutafuta mzizi wa tatizo
Usiwe unakaa pekeyako muda mrefu maadam umeshajua kinachokusumbua ni upweke jaribu kukaa na watu/mtu wako wa karibu.
Ongea nao,waeleze yanayokusibu,wakati mwingine kuongea ni tiba.
Kwa hali uliyofikia si nzuri maana waweza fanya jambo ukaja jutia baadae.
Tafuta daktari wa saikolojia waweza pata ufumbuzi.
Mshirikishe Mungu wako.
Salama salamaHabari yako mkuu
Njoo uchukueNa mimi naomba ushahuri
Tatizo ndo liko hapa. Anza kenda ibadani leo hii na uongee na kiingozi wa kiroho akufanie counseling.Zaidi ya miaka mitano mkuu, labda kuagia msiba kanisani tu.
Kweli mkuu, sio kwamba sijielewi, najielewa vizuri tu na kazi nafanya km kawaida ila kuna kama hali inajijia naipuuzia lkn cha kushangaza najikuta tu nna hasira mda wote na sijui kwanini nakua hivi, na wakati niko na hasira najikuta nshafanya kitu kisicho cha kawaida, kiujumla nashindwa kujidhibiti.mpaka umefikia hatua ya kuandika hapa na kujiulizaga why umekuwa hivyo means umeshajielewa na unajua kama unafanya makosa
huitaji tena ushauri huu ndio ushauri wangu. pole sana
Nna kazi mkuu, kila siku nipo kazini, ila sina marafiki kwa kweli zaidi ya wale wa maeneo ya kazini tu, kiufupi sipendi kampani tangu zamanipole njoo huku nilipo kwa muda ukirudi utakua sawa hyo ni athari ya kukaa muda mrefu bilashughuli ya kufanya na kutokua na marafiki wapya
Asante kwa ushauri mkuu, ntaufanyia kazi.Sio dalili nzuri hizo, kama hutojiua ili ukakae kaburini peke yako basi kuna athari ukaizuru familia yako ili ubaki peke yako,unahitaji ushauri wahi kwa wataalamu kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, pia Jenga tabia ya kuwa unamshirikisha Mungu katika mambo yako mengi ili akufungue kutoka katika hiyo minyororo ya shetani ulikonasa kwa sasa!!!
Sijui hata kiini cha hili tatizo moja kwa moja, yapo mengi nimepitia na nayapitia pengine yamejijenga hadi kufikia hapa nilipofikia,Yawezekana kuna kitu kinakunyima amani ndiyo maana wafikiria yote hayo.
Jaribu kutafuta mzizi wa tatizo
Usiwe unakaa pekeyako muda mrefu maadam umeshajua kinachokusumbua ni upweke jaribu kukaa na watu/mtu wako wa karibu.
Ongea nao,waeleze yanayokusibu,wakati mwingine kuongea ni tiba.
Kwa hali uliyofikia si nzuri maana waweza fanya jambo ukaja jutia baadae.
Tafuta daktari wa saikolojia waweza pata ufumbuzi.
Mshirikishe Mungu wako.
Depression mkuu hiyo....nenda ukatibiwe afya yako haipo sawa.......(means psychologically haupo fit-u need psychologist mkuu)Na wewe kulikoni mkuu....