Ushauri wenu Muhimu Kwangu Wana JF! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wenu Muhimu Kwangu Wana JF!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DALA, Jan 4, 2011.

 1. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Waungwana natumai mko salama,

  Mimi nina tatizo moja ambalo nafikiri kwa sasa limeniweka kwenye kona kali sana. Mwaka 2004 november nilikutana na binti mmoja wakitanga msambaa tukawa tumependana sana ila kwa mikiki mikiki ya mahusiano tulilazimika kuachana mwaka 2006 mwezi wa 9 ingawa sikupenda binafasi but kwa sababu nilishindwa ujeuri wa kifedha kutokana na kibarua chanyu kuota nyasi ilibidi niingie gharama ya kuseparate kwani mara nyngi nilionekana muongo kwa sababu hata simu ilifika hatua nikauza na kwa hiyo mawasiliano yakawa maagumu, binti akaona ninampiga chenga coz alikua shule Mpwapwa wakati mimi nilikua Dar na hakuweza kuniamini katika mazingira hayo.

  Niliumia sana but ilibidi nikubali matokeo though baadae mchaka mchaka wakurudiana ikaanza bila ya mafanikio, then I was single mpaka 2008 february, nikakutana na kibinti kutoka Switzerland tukapendana. Yule dada akawa amemaliza 4m six ikabidi aje Dar kwa ndugu zake. Msala ukaanza. turudiane ndo ikawa hoja hata nikisema nina mwingine wapi ikabidi niwe napiga mzigo coz by then yule Mswiss alikua ulaya na mimi bado niko bongo ikawa rahisi ila kurudiana kiukweli ikawa mbinde kwangu kwa hiyo kuviziana mpka basi nikaondoka ulaya, nilivyorudi msala tena kama kawa.

  Bahati mbaya nikaachana na yule mzungu kutokana na distance na mambo mengine though nayo sote hatukuridhika na ile hali 2008 November nikiwa safarini African kusini tukaachana rasmi na huyo mzungu kwa hiyo nikawa free kwa mzungu ila home bado nikawa na msala wa binti wakitanga ambaye amekua king'ang'aninzi kama kawa thogh uamuzi wangu moyoni ulikua unajulikana na kwake kwamba kurudiana haiwezekani.

  2009 Mey nikakutana na Mzungu mwingine ambay naye akanipenda ile mbaya na hapo ndo tatizo ilipoanzia tena kutokana na teknologia ya mawasiliano hii ikajulikana Uswiss kwamba nini mwingine kwenye facebook, kiukwekli ninampenda yule wa Uswiss ile mbaya . Yeye akanza kunisakama, haiwezekani kumuacha inabidi arudi bongo nimuoe. Msala mwingine coz yule watanga naye bado anavutia upande wake nikawa ninampiga huyu msiwss biti ila wapi mpaka leo hii niniaishi na mwenzkae mwaka wa 3 baada ya kuachana ila ndo mapenzi yamenoga anataka nimuoe. Nimemwambia huyu mzzungu wa sasa ukweli uliopo na hivi sasa nina washawishi kama watakubali, niwaoe wazungu wote waje bongo coz nimeshindwa kuamua mwenyewe kati ya hawa wawili japokua yule wakitanga nae nilimfanyia mchongo akaenda uingereza alivorudi akakomaa tena kwangu!

  Huuuuuuu Msala nifanyeje!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jomba bila kuuma maneno wewe ni fisadi wa mapenzi!

  Halafu una kauli mbili, kuna mwingine unasema 'alinipenda', na mwingine unasema'nilimpenda...huoni kuwa umetoa majibu ya shida yako, na unajitesa bure kwa wengineo?

  Lakini pia huoni mateso kuwa na mahusiano na watu 3 wote wakitaka uwaoe?
  Ingia hibernation ya muda mrefu, ukate mawasiliano na wote uanze upya, vinginevyo watakugawana!
   
 3. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Kaka hii hali ngumu kwangu to be honest, ninaishi na mmoja wao but I do not have that strong feeling for her kama wapili kwa maana na Mswiss huyu wakitanga sina ishu nae nishampa laive pamoja na kwamba hakupenda ila ndo hivyo tumesema yaishe kabisa! Ishu ipo kati ya hawa wawili niwaoe wote au vipi na sijui kama watakubali coz ni wazungu wote sasa hili nalo msala! put yourself in my shoes then unishauri vizuri kumbuka mimi sio fisadi wa mapenzzi coz wanarudi wenyewe hata nikisema nina mtu!
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  hata hueleweki mkubwa Dala,

  sijui ni ushauri gani unataka hapa
   
 5. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Kaka nifanyeje ili niondokane na tatizo hili bila kuumiza mtu? ndi swali langu!
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mpaka sasa kwanza tambua kuwa unawaumiza hivyo achana na kauli kuwa unataka kutoumiza mtu.Tambua kuwa mapenzi unayoyaendesha wewe si ya kumuoa yeyote kati ya hao na maana inaonekana hakuna hata mmoja kati yao unayempenda kwa dhati na kama ingekuwa hivyo ungekuwa umekwishaweka msimamo na kuoa.
  Kwa kuwa wanakutaka wote na wanajuana basi chukua uamuzi wa kuwa na mmoja na uachane na waliobaki na utaeleweka tu,ila kumbuka katika mapenzi hakuna kuachana bila mtu kuumia hivyo hata ufanye nini wataumia tu.
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Kwa hili lazima mtu aumie,acha kuchukua maamuzi rahisi eti uoe wote,be a man,you have made a mistake before,take time look at different factors,seek more advice and make up your mind,then let them know of your decision.Thats what bn a man means beside having that .........between your legs.Na muwe makini jamani,mnatuumiza sana mioyo yetu wasichana,haya manung'uniko ya mioyo ya watu si mazuri.
   
 8. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Kaka unaongea ukweli ila kwa sasa nimemchumbia mmoja wao wa sasa ila tatizo ni kwamba feelings sio nzito kama huyu wapili! Nielewe vizuri! Huyu wapili alidiriki kumtimua mwanaume alompata baada ya mimi na yeye kuachana ili arudi wakati anajua nini mtu! kaka hii hali inaniumiza sana! Kibaya zaidi, wakati tunakaribisha mwaka mpya nilipigiwa simu nikiwa na huyu ninayemwita mchumba and I had to pick it kwa more than 5 mins from a broad ikafuatiwa na mail ya kuomba tarehe ya kuja kwangu!
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,762
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  story mbona inachanganya?kwa nini usiamue kuwa na mmoja tu,hao wengine hata usiwasiliane nao kwa njia yoyote ile
   
 10. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
 11. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  we mwisho wake utawakosa wote! kama walikua wanarudi wenyewe bila we kupenda mbona unamega sasa? hilo ndio tatizo yani wewe hapo unawapenda wote ila hujijui tu! chagua mmoja utulie, kalagabaho
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama tayari unajua huna hisia za kutosha kwa mmoja siumuache huyo???Jibu tayari unalo......chukua yule unaempenda kiasi anachokupenda muache anaekupenda bila wewe kumpenda maana unakua humtendei haki!!!
   
 13. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  lazima mmoja aumie muumie wote> hukwepi kitu hapo
   
 14. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mnh.....nahisi ukicheza in the end watakuchukia na kukuona umewapotezea muda na hivyo wote kukutosa,kama unawapenda wote na wanajuana waambie unataka kuwa nao wote!!!.....kama haya ni ndani ya uwezo wako mie sioni shida....waoe wote! km wewe ni mkristu huwezi fanya hivi then muoe uneyempenda zaidi ila waambie hao wengine upendo wako kwao utabaki kuwa vile vile!....kila mtu akumege kwa nafasi yake na abaki alipo,ukienda uswiss una mke ukienda tanzania una mke na ukienda SA una mke!.....atakayeona hayawezi ATAJING'ATUA mwenyewe na kukupa uhuru.....it seeems ni ving'anganizi sasa dawa yao ni kuwachapa wote.:embarrassed::embarrassed::embarrassed::whoo:
   
 15. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mwanaume mzima unashindwa kupambanua nini unakitafuta ktk mahusiano? hustahili kuwa na hiyo PEMBEJEO:redfaces:
   
 16. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi pia sijakuelewa mkuu, nionavyo hapa, wewe mchezaji wa hali ya juu, natumai mafundi watajitokeza na msaada!!!!!!!
   
 17. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Pauline ahsante sana! kwa kuzingatia umuhimu wa hoja hii na dini yangu Ukritu sina janja hapa inabidi niwatose wangine but kwa machale sana kewa hiyo najitafutia njia! I have to tell kwamba kama ni vituko kwenye mahusiano, Mungu shahidi nimefanya vyakutosha ilimradi tuachane ila its impossible kupitia njia hizo so nataka washtuke tu nimoa mmoja wao in the next few months hopefully itanisaidia!

  Thank you guys!
   
 18. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Achaaaaa hii kitu imekuchakachua, i mean kungonoka, huna break tena ww
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa kitu hii ni Kama tamthilia ya eastenders !
   
Loading...