shikamooKama unakumbuka kinga usiache
shukrani mkuuIkiwa umebaini kuwa tabia hiyo ni mbaya na ni chukizo hata ndani ya nafsi yako ni hatua kubwa kuelekea kuiacha. Ipo nguvu chanya ambayo unatakiwa kuizalisha ili ipambane na huo msukumo wa kizinzi ambao tunaweza kwa sasa kuuita hasi. Ikikupendeza ni pm kuna jambo nitakusaidia uondokane na kadhia hiyo.
nashukuru sana mkuuIkiwa umebaini kuwa tabia hiyo ni mbaya na ni chukizo hata ndani ya nafsi yako ni hatua kubwa kuelekea kuiacha. Ipo nguvu chanya ambayo unatakiwa kuizalisha ili ipambane na huo msukumo wa kizinzi ambao tunaweza kwa sasa kuuita hasi. Ikikupendeza ni pm kuna jambo nitakusaidia uondokane na kadhia hiyo.
Marahabaaashikamoo
Sehemu mbalimbali na wapi?
sizani kama ndio tatizolitakuwa limeisha hata akifunga ndoa.Nakushauli funga ndoa
Una umri gani?Habari wakuu, nimekuja kwenye jukwaa ili niombe ushauri nifanyaje tatizo langu ni kila mwanamke ninayemuona natamani kuwa naye. Awe mwembamba au mnene uko bado ndio nishachafua karibia wote, kila nikisema huyu wa mwisho nakaa kidogo siku mbili napiga mwingine tena.
Yaani magesti yote wananijua, nataka niache nashindwa.
Ushauri wakuu
duu kweli ww chuma cha mjerumaniMimi Nilikuwa nabadilisha Kama nguo ila toka mwaka umeanza nakula Mwanamke mmoja.
Wewe unapendaje wembambaUnapendaje mwanamke bonge?
Hongera bahariaNimekuwa Mtumwa wa Bwana, Mungu wangu.
Ibada sana, kufunga na maombi ya muda mrefu tena kwa machozi.
Yaani kila siku za ibada sijawahi kukosa, muda wote nawaza Kanisani tu.
Hata nyimbo nimekuwa mtu wa gospel songs tu.
Hata nikitoka job, kama ni siku ya ibada napitiliza kabisa Church, sipiti geto.
Then, nimeacha kwenda viwanjani.
Nikishafika geto tu, sitoki kabisa.
Addicted to sex,maombi yanakuhusu sana wewe...Habari wakuu, nimekuja kwenye jukwaa ili niombe ushauri nifanyaje tatizo langu ni kila mwanamke ninayemuona natamani kuwa naye. Awe mwembamba au mnene uko bado ndio nishachafua karibia wote, kila nikisema huyu wa mwisho nakaa kidogo siku mbili napiga mwingine tena.
Yaani magesti yote wananijua, nataka niache nashindwa.
Ushauri wakuu