Ushauri wenu kuhusu huyu binti

Kabisa mkuuu... SIKU nikiibuka beach na bikini... Tumbo flat. Kabisa nawachora wenye vitambi
Yaani Hapo Utakuwa Kama Mcharo 🙄Tamu 😋 Halafu
Unasema Kama Yule Mgombea.....
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa 😁😂🙄😄🤣
 
Yaani Hapo Utakuwa Kama Mcharo [emoji849]Tamu [emoji39] Halafu
Unasema Kama Yule Mgombea.....
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa [emoji16][emoji23][emoji849][emoji1][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....
 
Usiwe vuguvugu, kama unaacha acha tengeneza mahusiano mengine, sio unaacha halafu unarudi tena, Mara unune. We amua moja, hafai hafai anafaa mpiganie.. Na yeye anafatwa fatwa lazima ndo mda wake wa kuwachumbua maana soon muda utamtupa mkono.
Uko sahihi, atakuwa kaelewa.
 
Mwanamke anakuwa na mwanaume plan A na Plan B...

Sasa wewe ni mwanaume wake plan B yaani akimpata plan A wewe anakuacha,akimkosa anarud kwako Plan B..

Kifupi wewe ni ndondocha lake ni mtaji wake kipindi ambacho ameachika huko nachoshukuru walau una msimamo ...
 
Brother unachofeli kuteka hisia kwa huyo binti ni kitu kidogo hauko romantik
 
Achana nae huyo hafai kuwa mke hao ni zile sampuli za wadada wanaotaka kuonjwa onjwa hata ukimuoa atakupa stress tu
 
Embu nipe code huyu Dada alipo [emoji23][emoji23][emoji23] maana hii story inaendana na tabia ya niliyekuanaye.....ni clinical officer huyu Dada..... Nipe code ya mkoa kama atakuwa ni yeye nikupe details mrudiane [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 

Wewe ndio mwenye matatizo. Inaelekea huwajui vizuri wanawake. Binti anaonekana anakupenda ila hakuelewi maana kwa jinsi ulivyoandika hapa inaelekea kabisa hata mzigo hujapiga upo upo tu. Huko kuoa kwenyewe ulikosema utamuoa umeshafanya hatua zozote au ni maneno matupu tu? Umeshajitokeza kwa wazazi? Kama sivyo kwanini binti asikupotezee au unafikiri we ndio wa kwanza kumuambia utamuoa?

Kumbuka kila mwanamke mzuri ana wanaume zaidi ya 10 wanaomtongoza kila siku na kumsumbua kwenye simu, njiani, mtaani, wapi kila mahali... sasa wewe kama huchukui nafasi yako ndio kama hivyo baada ya muda anakupotezea mpaka aje akukumbuke ni miezi imeshapita. Na kuna siku itafika hatakukumbuka tena itakua ndio bai bai.
 
Mkuu jitahidi upate furaha, mahusino yasikusababishe ufungwe miaka 60,ugongwe na gari kwa sababu ya mawazo...upate magonjwa yasiyo ambukizwa..tafuta furaha yako .
 

Kwa uzoefu nilionao kuhusu maswala ya mahusiano huyo binti ana mahusiano na mtu mwingine ambaye yeye anamuona ni mtu sahihi kwake ila inaonekana huko mambo bado hayajaka sawa ila nakuhakikishia mambo yakikaa sawa braza utaachwa kwa matusi na kejeli

Ushauli wangu kwako broo kaa mbali na huyo binti kama unataka kuvuka mwaka 2020 kwa Amani
 
Achana nae tu maana hata wewe n bahili humfai
 
Ccm ndo wameleteleza yote hayo...
Chagua kama Unataka maendeleo ya watu(ndoa,mahusiano,mishahara,ajira) Au unataka maendeleo ya vitu(madaraja,barabara,ndege)?

ila kama unataka vyote tar.28 usituangushe CDM bwashee huyo dem utaoa tu
Haha "shushia maandaz" kesi imeisha
 
Sikutaka kuchangia mada hii lakini kuna kitu kimoja hukiekewi kuhusu matumizi ya simu za laini 2. Kama moja ikiwa
inatumika ukipigia hiyo ya pili lazima utaambiwa iko busy kwa sababu simu moja haiwezi kuhudumia laini 2 kwa wakati mmoja.
Umesema namba yake moja ilikuwa haipatikani -inaelekea aliitoa ili aweke ya dada yake. Laini ya pili ilikuwa busy-ndio kwa sababu simu ilikuwa inatumika haingeweza kupokea simu nyingine wakati huohuo.
Suala la kama kweli simu ilikuwa na dada yake hilo siwezi kulisemea nilikuwa naweka sawa suala la simu ya laini 2 inavyofanya kazi ili usikosane na mwenzako kwa sababu zisizo na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…