Ushauri wenu kuhusu huyu binti

Nilishawahi kutana wa dizaini hio huwa natuoa kule .

Sina muda wa kuimbiana kuch kuch

Kama haupo serious Sina mda mchafu na wewe

Hatujazaliwa tumbo moja ebooh!!!
 
Rais Magufuli aliwahi sema, "kuna maneno mawili tu KA-TA hata kama ni jeshini", na mimi nasema KA-TA hata kama unampenda sana hakuna mke hapo kuna demu wa masela na hakupendi kabisa.
 
Ondoa malengo ya kumuoa, kama unaweza piga mambo tu lakini usimuweke kwenye future yako. Mchukulie kama alivyokuonyesha.
 
Unamuachaje wakati amekufanya wa akiba, ukiondoka akichwa kabisa atakosa mtu w uhakika na ushaahidi ndoa tena.

Vipi lakini umekulamo? Ww nenda nae kama atakavyo tu. Jitafunie papuchi yako mkuu saaafi, huku unatafuta kwingine kwa kuweka kambi ya hadi uzeeni.😀
 
Sisi Tubaki Kwenye Mchakato Wa Kupunguza Mwili, Tupate Shape Nzuri Kuliko Hao Wa Pisi Kali!![emoji3][emoji16]
Kabisa mkuuu... SIKU nikiibuka beach na bikini... Tumbo flat. Kabisa nawachora wenye vitambi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifurahisha ulivosema we Sio muumini wa pisi kali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifurahisha ulivosema we Sio muumini wa pisi kali
Sasa unataka sisi Sura za baba zetu tukose soko...ebooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…