Ushauri wenu, hajali hisia zangu, nifanyeje?

Ushauri wenu, hajali hisia zangu, nifanyeje?

Sasa unalazimisha nini? Au ni kwa nini unamlalamikia? Ukiona hivyo ujue ana sababu za kukaa kimya na kuna uwezekano anakuheshimu ndio maana anashindwa kukupa makavu. Achana na kumtongoza, mchukulie kama rafiki tu. Au kama linakushinda, vunja huo urafiki maana utajikuta umebaka kiutaniutani.
 
Unamfundisha kubaka mkuu maana huu ni ubakaji wa waziwazi kama unawafanyia hivyo nakushauri uache maana utakutana na balaa

Nani kakwambia mwanamke anabakwa kiongozi,mwanamke akibakwa kuna vitu vwili lazma vile involved..either na watu zaidi ya mmoja au ukiwa mmoja ajeruhiwe..tofauti na hapo habakwi na akiamua asikupe hakupi..nnachoongelea labda huelewi nnachomaanisha na mazingira ya ujana labda ujapitia vitu kama izi.
 
Don't copy everything from jf, vingine vinaponza, unaanzaje kula mzigo bila kutongoza?? Labda km una ghetto

Hashuriwi acopy kila kitu,akili kumkichwa ila kimcng kashapoteza point za kuwa na huyo mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom