Ushauri Wenu: Demu nampenda lakini sio level yangu

Ushauri Wenu: Demu nampenda lakini sio level yangu

Mkuu usi-overthink things, just do it. Usisubiri sijui the perfect time, hizo ni delaying tactics. We siku ukimuona count mpaka 5 secs, zikiisha tu we mfuate hakuna kubadilisha mawazo wala kugeuka nyuma. Just do it! Kama utamuomba date au kuchukua namba, it's up to you. Just be respectful.

Mimi a few years back kuna msichana nilikuwa namuona in my neighbourhood, she was way too pretty.Jina nilikuwa hata simjui, ila nilikuwa nimemuelewa kweli. Shida ilikuwa kumu-approach tu. Kila nikimuona naishia kumpa hi ya juu juu tu. Halafu najiambia next time I'll ask for her number. Lakini wapi.

Baada ya hiyo hali kujirudia mara kadhaa, siku ninapishana nae nikampa hi kama kawa then baada yakwenda hatua kadhaa mbele, nikajiambia nitafanya huu ujinga mpaka lini, what do I have to lose. Nikageuka nakuanza kumfuata hapo najiambia liwalo na liwe huku nikitafuta vitu kadhaa vya kumpigisha story kidogo ili anichangamkie ndo nimuombe namba.

Ile nimefika tu alipo, plan yote went out of the window, sema nikajikaza hivo hivo, nikamuuliza tu anaitwa nani kisha I told her; baada ya kupishana nae sekunde kadhaa zilizopita, I figured I should get her number. Akauliza yangu? Ni kamwambia ndio yako. Alipause for a sec kisha akanitajia. Huwezi amini ile namba niliichukua huku mkono unatetemeka kwasababu ya anxiety.

After that as they say the rest is history.

Kwahiyo mkuu sometimes it's all in your mind. Don't overthink things. Kuliko kukaa na what ifs, wewe siku just say f.uck it and go for it liwalo na liwe.

Kuna msemo usemao, Confidence isn't "she'll like me." Confidence is "I'll be fine wether she likes me or not."
kiongozi umenitia moyo wazo lako nitalitekelezaa kwa uadilifuu...
 
Sikushauri kitu kwa sababu ushauri wangu wa kwanza ni

USIWE NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MTU UKO NAYE OFISI MOJA

Hiyo ni golden rule. Ishi ukiifuata.
nini kitatokea tukiwa wamojaa??
 
I always tell young people, kutongoza ni moja ya majukumu makuu ya kua mwanaume.

Ukishazaliwa tu mwanaume na ukafikia umri wa kutaka kua na mwanamke, kutongoza ni jukumu lako, liko kwenye JD yako.

Usihofu kua atakukataa, wewe timiza wajibu wako, usione aibu kitimiza wajibu wako.

Jifunze kwa jogoo, yeye akihitaji jike la kutafuna hulikimbiza, alipate sawa, alikose sawa pia maana alikua anatimiza majukumu yake.

Usiogope kutongoza kisa mwanamke atakukataa, sio wajibu wako kujuabkama atakukataa au atakukubali wewe tongoza. Hutakiwi kuanza kua na majibu yako kichwani.
 
habari zenu wahenga na madogo wa humu jf?
ni mwaka wa 2 sasa tangu niajiriwe ila kuna shorry namuelewa sana hapa offcn ila nashindwa kumwambia sababu najua haez kukubali kwa urembo alio nao na utashi naombeni ushauri nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwaa...
ushauri wenu utanisaidiaa....
Jiamini man . Ila muaproach kwa adab ...ukienda kihun utakula za uso.
Alaf njoo inbo nikupe mbinu moja ya kung'oa watoto wakal kama hao
 
Hakuna mwanamke mgumu kwenye ucheshi na date appointment... we tuliza akili jaribu kuwa na ukaribu naye hakikisha unamifia na kuonesha unapenda kuwa na mtu kama yy we Anza kama utani kwa kumwambia nikiwa na wewe hautajuta na blabla za hapa na pale iwe kama utani ila mwisho unamwambia mimi ndio namaanisha na afikilie bila uoga omba kutembeleana huku ukitaka kujua nafasi yake nzuri ikoje...
Wadada wengi napenda mtu wa kumkubali ukakubali kumfurahia hata kama yuko kwenye mahusiano
 
Jiamini man . Ila muaproach kwa adab ...ukienda kihun utakula za uso.
Alaf njoo inbo nikupe mbinu moja ya kung'oa watoto wakal kama hao
anika mbinu tuuh hapa itawaongezea na wengine mautashi piaa kiongozii
 
habari zenu wahenga na madogo wa humu jf?
ni mwaka wa 2 sasa tangu niajiriwe ila kuna shorry namuelewa sana hapa offcn ila nashindwa kumwambia sababu najua haez kukubali kwa urembo alio nao na utashi naombeni ushauri nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwaa...
ushauri wenu utanisaidiaa....
Kua na akili kwanza, huwezi kumuita "shorry' mwanamke unayempenda, umeshajua sio hadhi yako sasa unataka tukushauri nini zaidi ya kukwambia pita kushoto mheshimu kama shemeji yako.
 
ni mwaka wa 2 sasa tangu niajiriwe ila kuna shorry namuelewa sana hapa offcn ila nashindwa kumwambia sababu najua haez kukubali kwa urembo alio nao
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Jipange hutoweza kuamini
 
habari zenu wahenga na madogo wa humu jf?
ni mwaka wa 2 sasa tangu niajiriwe ila kuna shorry namuelewa sana hapa offcn ila nashindwa kumwambia sababu najua haez kukubali kwa urembo alio nao na utashi naombeni ushauri nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwaa...
ushauri wenu utanisaidiaa....
hongera mkuu kumbe umeajiriwa
 
HAKUNA WANAWAKE WANAONG'OLEKA KIRAHISI KULIKO WALE WANAOJUA KUWA HUWAZI KUWA UTAWANG'OA!

rudia hiyo sentensi mara SITA!
HALAFU ENDELEA NA SAFARI!
 
Pole sana...

Kukataliwa au kukubaliwa yote ni majibu... Ingawa siyo rahisi mwaambie tu unaweza shangaa akakuelewa sana...

Mambo ya siyo level yako achana nazo... be positive...


Cc: mahondaw
 
habari zenu wahenga na madogo wa humu jf?
ni mwaka wa 2 sasa tangu niajiriwe ila kuna shorry namuelewa sana hapa offcn ila nashindwa kumwambia sababu najua haez kukubali kwa urembo alio nao na utashi naombeni ushauri nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwaa...
ushauri wenu utanisaidiaa....
Hofu yako ni ushahidi wa kinadharia kwamba hakufai... Badili kwanza akili yako utagundua mengi mazuri katika hii tasnia ya mapenzi. Kama uliyoandika..(shorry, demu) kama yapo kwenye maongezi pia basi utafute wa namna hiyo pia, maana si unakumbuka wahenga walitanabaisha "Ndege wanaofanana huruka pamoja"?..
 
Back
Top Bottom