kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,480
- 5,072
Aliweza hiyo wizara Kwa sababu alipewa full support na Hayati magufuli kwahiyo ikawa rahis ila Kwa mazingira ya Sasa ni ishu Sana maana manyan hawana uoga tena
Wakati nchi inapitia cha giza na mauaji ya mwendazake mlikuwa kama nyauRejea thread niliyoanzisha ikisema,
Waziri wa Nishati anafanya nini kikaoni wakati Nchi Iko gizani?- Rabbon.
Hoja ya thread hapo juu ililenga kuuulizia ilipo nafasi ya waziri wa Nishati ambayo ni kama kivuli Cha nafasi ya Naibu waziri mkuu.
Naibu waziri mkuu Mh Biteko alimwagiza Ndugu Maharage kutohudhuria kikao Cha kujadili masuala ya Nishati Ili ajumuike na team yake kutatua tatizo la umeme, wakati ktk uhalisia, waziri wa Nishati alitakiwa pia kuondoka kikaoni kushughulikia tatizo.
HOJA yangu ililenga kuonyesha gap ambalo Kwa namna Fulani, Naibu waziri mkuu anashindwa kuliziba Kwa jinsi asivyoweza kujitenga na nafasi mbili alizopewa Kwa wakati mmoja.
Sishauri kuteuliwa mwingine Kwa nafasi ya Waziri wa Nishati kumtenga na nafasi ya Naibu waziri mkuu,
Nia yangu ni kushauri watu makini ambao wanaweza kushika nafasi ya Naibu waziri mkuu lakini hapo hapo Wana uwezo na uzoefu kuziba gap ikiwa Mh Biteko ametingwa Mahali.
Ushauri huu ni Kwa Maslahi mapana ya nchi, na ni ushauri wa dharura kuokoa jahazi kuzama Hasa katika kipindi hiki kigumu Nchi ikiwa gizani.
Karibuni🙏.
Amen
Kuna wizara za kutengwa na kuna wizara unaweza kuzichanganya hata 4.
Ila wizara ya nishati na madini..!! Mtu huyu aende kwenye migodi, mtu huyu afuatilie umeme uwake..kwanini akili yake isiegemee kwenye kutorosha madini...!!h
Mauwaji na Giza wapi na wapi?Wakati nchi inapitia cha giza na mauaji ya mwendazake mlikuwa kama nyau
Tatizo la umeme ni la kitaifa, Si la kundi Fulani,
Historia inaonyesha Kalemani angalau aliweza kutatua tatizo!!
Unadhani Kalemani yuko vizuri sana. Uzuri wake ulibebwa na mkuu.
Hilo haliwezekani, pendekeza wa kabila na kanda nyingineRejea thread niliyoanzisha ikisema,
Waziri wa Nishati anafanya nini kikaoni wakati Nchi Iko gizani?- Rabbon.
Hoja ya thread hapo juu ililenga kuuulizia ilipo nafasi ya waziri wa Nishati ambayo ni kama kivuli Cha nafasi ya Naibu waziri mkuu.
Naibu waziri mkuu Mh Biteko alimwagiza Ndugu Maharage kutohudhuria kikao Cha kujadili masuala ya Nishati Ili ajumuike na team yake kutatua tatizo la umeme, wakati ktk uhalisia, waziri wa Nishati alitakiwa pia kuondoka kikaoni kushughulikia tatizo.
HOJA yangu ililenga kuonyesha gap ambalo Kwa namna Fulani, Naibu waziri mkuu anashindwa kuliziba Kwa jinsi asivyoweza kujitenga na nafasi mbili alizopewa Kwa wakati mmoja.
Sishauri kuteuliwa mwingine Kwa nafasi ya Waziri wa Nishati kumtenga na nafasi ya Naibu waziri mkuu,
Nia yangu ni kushauri watu makini ambao wanaweza kushika nafasi ya Naibu waziri mkuu lakini hapo hapo Wana uwezo na uzoefu kuziba gap ikiwa Mh Biteko ametingwa Mahali.
Ushauri huu ni Kwa Maslahi mapana ya nchi, na ni ushauri wa dharura kuokoa jahazi kuzama Hasa katika kipindi hiki kigumu Nchi ikiwa gizani.
Karibuni🙏.
Amen
Kuletwa mtu aina ya Biteko wizara hiyo ni kujirudia baada ya Kipara kuboronga.Aliweza sababu ya aliyekuwa pale juu.
Sasa yupo mwingine, Je unamuonaje?
Kiutendaji, ufuatiliaji , kimaono n.k ni Sawa na jamaa wa wakati ule?
Mwl Nyerere aliwahi Sema kabila,ukanda nk nk vinatuchelewesha,Hilo haliwezekani, pendekeza wa kabila na kanda nyingine
Kuletwa mtu aina ya Biteko wizara hiyo ni kujirudia baada ya Kipara kuboronga.
Kuna mtu mbunge aliniambia, alikuwa akipigiwa simu mara Kwa mara akikaripiwa kufuatilia miradi ya jimboni kwake Hadi saa nane usiku.Tunaposema pale juu ni juu top kabisa sio juu ya wizara.
JPM alikuwa halali hadi ufumbuzi upatikane wa kero /tatizo la wananchi.
Results orientation person.
Alikuwa agressive, suspicious
Haambiwi jambo na watendaji akakubali bila kuhoji Kwanini hii Na isiwe vinginevyo ?
Wakileta wazo ana challenge akiona umejibu kwa mapana kwa hoja anakubali na sio kusema nendeni mkatekeleze kirahisi.
Kifungu hakuna ila utendaji kazi utakuwa ni washida sana, kama ujuavyo viongozi wengi wa kiafrica upenda kusujudiwa.Ni bora uwe mkuu wa mkoa then uwe mkuu wa wilaya kuliko waziri then NWNionyeshe kifungu Cha KATIBA kinachokataza Hilo kutendeka.
Hawapasi kuwa hivyo,Kifungu hakuna ila utendaji kazi utakuwa ni washida sana, kama ujuavyo viongozi wengi wa kiafrica upenda kusujudiwa.Ni bora uwe mkuu wa mkoa then uwe mkuu wa wilaya kuliko waziri then NW
Anaangalia juu Pana msimamo Gani!!Kuna jambo la kujiuliza ni kwanini waziri mkuu amakuwa akijitenga na hizi wizara, wizara ya nishati pamoja na ya maji na huko kuna mabilioni ya hela yanamwagwa huko kila mwaka lkn sijawahi kusikia anakosoa ucheleweshwaji wa miradi mbalimbali ya wizara hizo, au alikatazwa asiziguse? Badala yake utamsikia Tamisemi tu.
sawa comredMwl Nyerere aliwahi Sema kabila,ukanda nk nk vinatuchelewesha,
Kwamba ni Rais mzuri, tatizo ni MKARA!!
Yaani upate watu makini na uwaache sababu unataka kuridhisha Kanda Fulani?
Hujiulizi kwann Tanga wabunge karibia wote ni mawaziri?
Ingawa ukiniuliza mawaziri Kutoka Tanga Wana ubora kiasi Gani, majibu Sina!!
Unayo HOJA.Mnyeti alikuwa mkuu wa mkoa equivalent na waziri. Leo ni naibu waziri. Kiitifaki alipo mkuu wa mkoa naibu waziri hapeperushi bendera
Thibitisha mkuuUsitudanganye,!
Alikuwa ahahutubia Baraza la madiwani na wakuu wa idara na vitengo wa halamshauri ya chato. Akawa anamkebehi Maza huku anasifia mtangulizi.
Kikao kinaisha hajakuta V8 yenye bendera, akapewa lifti na DSO.
Aliponzwa na mdomo wake.