Mbona Mzigo ni Mkubwa! Naibu Waziri Mkuu/ Waziri Nishati?

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Nianze kwa kumpa Hongera Mheshimiwa Dotto Biteko (Mb).kwa uteuzi wa Nyadhifa mbili mpya kwa wakati mmoja.
Lakini tujiulize hili jambo la kiutendaji ukizingatia kwamba wizara ya Nishati sio lele mama!
Ni wizara nyeti inayotakiwa usimamizi wa kiuongozi kwa karibu sana.

Ni wizara inayobeba kiini cha maendeleo ya nchi katika kila safu .
Uchumi wa Viwanda.
Ujasiriamali mkubwa na mdogo.
Uendelezaji wa shughuli za Migodi.
Uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kiserikali maofisini.
Lakini pia na maisha ya kawaida ya kila siku nchini.
Hii ni kutokana na umuhimu wa Nishati ya Umeme kiutendaji kama Nyenzo wezeshi.

Lakini pia kuna changamoto nyingi zaidi kwenye hii wizara ikiwamo ukamilishaji wa Bwawa la umeme la JNHP.

Na tukubali kwamba mpaka sasa nchi yetu inapitia kipindi kigumu cha upatikanaji wa nishati hiyo kwa kiwango cha chini kutokidhi mahitaji ya matumizi nchini.

Tulitarajia kupata waziri mpya ambaye angekuja kukaa na kutafuta muarobaini wa tatizo hili.

Sasa tunapopewa Naibu waziri mkuu na hapohapo akawa amepewa mikoba ya Ugonjwa wa Tanesco nchini.

Itakuwaje endapo Naibu waziri mkuu akashindwa jinsi ya kujigawa mtu mmoja ofisi mbili?

Je!
Ni lini anakuwa waziri wa Nishati na ni lini anakuwa Naibu waziri mkuu?

Je!
Linapoketi Baraza la Mawaziri,yeye anakuwa upande upi kwa mfano.Yaani anaketi katika kiti kipi?

Je?
Atakapokuwa ofisini Wizarani,ataandamana na huo msafara wa Naibu waziri mkuu?

Nisaidieni kutudadavulia hili enyi wajuvi.
Cc.
Pascal Mayalla
GENTAMYCINE

Na wengineo.
 
Kwan amekuambia hauwez??
Mbona hujawah mwambia mama mjamzito hii mimba mbona kubwa hutalemewa?

Aliyepewa hajalalamika ila huku nje una lia lia acha wivu usda chuki zitakuumiza mwenyewe
 
Kwa kuwa naibu waziri mkuu sio cheo Cha kikatiba, basi dk Biteko hatakuwa na majukumu ya naibu waziri mkuu, atakuwa na majukumu ya waziri wa nishati pekee
 
Lazima tujiulize kama watanzania.
Makamba alishindwa nishati pekee,huyu Biteko ataweza nishati na uwaziri mkuu?.
This is the difference between politics and logics.
Kwa mnataka apewe nan hiyo wizara maana kila anayewekwa mnamkataa
 
Namuonea huruma waziri wa michezo na sanaa. Hamna hela ya upigaji kwenye iyo wizara. Labd ile billion 30 ya ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa. Hata wakipiga panga haizidi million 100.
Waziri wake ni nan vp mwana fa
 
Kwan amekuambia hauwez??
Mbona hujawah mwambia mama mjamzito hii mimba mbona kubwa hutalemewa?

Aliyepewa hajalalamika ila huku nje una lia lia acha wivu usda chuki zitakuumiza mwenyewe
Aliyepewa anapata marupurupu lukuki!
Aliyepewa ameongezewa riziki!
Je!
Alalamike kwa sababu gani?
Maneno ya wivu ni ta useahili wa wavaa makubazi.
Tunaoangalia kwa mapana ni tofauti na wewe usiyejitambua.
Leta Hoja badala ta Uswahili.
Sina wivu bali nina uchungu na kodi ninayolipa TRA halafu inachezewa bila sababu za nsingi.
Wewe mwana wivu endelea na Uvivu wako wa kufikiri.
 
Kwa mnataka apewe nan hiyo wizara maana kila anayewekwa mnamkataa
Wewe ni mtu usiyeelewa hoja ni nini hapa!
Hatuongelei mtendaji bali tunaongelea ukubwa wa majukumu mbele yake!
Amka na tafakari!
 
Aliyepewa anapata marupurupu lukuki!
Aliyepewa ameongezewa riziki!
Je!
Alalamike kwa sababu gani?
Maneno ya wivu ni ta useahili wa wavaa makubazi.
Tunaoangalia kwa mapana ni tofauti na wewe usiyejitambua.
Leta Hoja badala ta Uswahili.
Sina wivu bali nina uchungu na kodi ninayolipa TRA halafu inachezewa bila sababu za nsingi.
Wewe mwana wivu endelea na Uvivu wako wa kufikiri.
Sasa mkuu kodi ya sh laki nne kwa mwaka kwenye hicho kibanda chako ni hela ya chai tuu tena ya rangi kikombe mia mbili ya mfanya usafi wa garden pale keep left cha ulumi
 
Wewe ni mtu usiyeelewa hoja ni nini hapa!
Hatuongelei mtendaji bali tunaongelea ukubwa wa majukumu mbele yake!
Amka na tafakari!
Kama sio wivu mbona huongelei ukubwa wa majukumu ya rais?
Hivi kwenye utawala huu watanzania kuna mtu anamajukumu kama rais
Aya toa maon yako
 
Namuonea huruma waziri wa michezo na sanaa. Hamna hela ya upigaji kwenye iyo wizara. Labd ile billion 30 ya ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa. Hata wakipiga panga haizidi million 100.
Kwa hiyo mwana fa atapiga kama 40m hivi bado atakuwa hajatutisha saana sisi wajariliamali 40 50 70 m hazitupigi chenga
 
Tatizo moja kubwa ambalo raisi Samia ahangaika nalo ni wizi wa kupindukia ndani ya halmashauri na taasisi za serikali.

Hili amelikiri hadharani na kulithibitisha alipozungumza wiki moja imepita kwamba kuna watu wametengeneza mifumo iso rasmi ndani ya mifumo rasmi inoiibia serikali mapato na fedha zake zingine.

Hata waziri mkuu mwenyewe amesikika akilalamika kuhusu wizi unofanywa na watendaji wa serikali ambao wamekuwa wakiipiga khasa serikali kisawasawa, wengine kwa kamba maalum mpya kutoka sokoni au “latest in the market”.

Hii pia yaficha ukweli kuwa serikali haina fedha za kutosha kutoka kwenye akiba yake.

Lakini haya yote yalianzia pale watu waliporuhusiwa kula kwa kamba zao na pia ukusanyaji hafifu wa kodi stahiki.

Narudia tena kusema kwamba kama serikali haikusanyi kodi inotakiwa na pia hata ikikusanya kodi hizo na mapato mengine na yakawa pungufu, basi serikali hiyo itsshindwa kuendesha shughuli zake kikamilifu.

Sasa kwanini Dotto Biteko?

Dotto Biteko katika vyeti vyake anacho Cheti cha usimamizi (management) cha Uchina. Hivyo huenda kutokana na kazi aloifanya pale wizara ya madini ameonekana (huenda) atasaidia wizara nyeti ya nishati.

Hivyo taasisi zote ikiwemo EWURA na TANESCO, Itambidi azisimamie KIKAMILIFU.

Hilo la kuteuliwa kuwa Naibu waziri mkuu ni kumpa nguvu zaidi kuzisimamia taasisi za serikali ambazo zimedorora kwenye kuleta mapato na pia kwenye kufanya kazi pamoja.

Hivyo basi, Dotto Biteko kateuliwa kuidhibiti wizara ya Nishati na pia kuratibu shughuli za taasisi khasa kwenye fedha ambazo zaibwa kila kukicha.

Kwahiyo ni waziri wa nishati na pia ana nguvu ya unaibu waziri mkuu kwenye kutoa maamuzi magumu.
 
huko sahihi kapewa nguvu kuingilia chombo chochote kile kinachoongozwa na waziri yoyote maana ni boss wao
 
Tabora hakuna Wese!

Mbona Rais Samia ndiye Waziri wa Utumishi kadhalika na TAMISEMI

Ni kawaida sana atakalia Kiti cha Naibu Waziiri mkuu
Amejiongezea na MIPANGO NA UWEKEZAJI!!! Kitila Mkumbo yuko chini ya ofisi ya mama Abdul!
Tatizo kubwa la serikali hii ni kutokuwa na nidhamu ya matumaini ya kodi za Wananchi na ndio maana wakati wote wanakuwa na shortage of funds hivyo kutoza kodi wananchi bila mpangilio!!
Mfano ni Samia kupanua Cabinet yake baada ya budget kupitishwa; hiyo itapelekea adjustments ambazo zinaweza kuleta upungufu wa fedha za serikali hence kutafuta kuwakamua wananchi zaidi!!
 
Tatizo moja kubwa ambalo raisi Samia ahangaika nalo ni wizi wa kupindukia ndani ya halmashauri na taasisi za serikali.

Hili amelikiri hadharani na kulithibitisha alipozungumza wiki moja imepita kwamba kuna watu wametengeneza mifumo iso rasmi ndani ya mifumo rasmi inoiibia serikali mapato na fedha zake zingine.

Hata waziri mkuu mwenyewe amesikika akilalamika kuhusu wizi unofanywa na watendaji wa serikali ambao wamekuwa wakiipiga khasa serikali kisawasawa, wengine kwa kamba maalum mpya kutoka sokoni au “latest in the market”.

Hii pia yaficha ukweli kuwa serikali haina fedha za kutosha kutoka kwenye akiba yake.

Lakini haya yote yalianzia pale watu waliporuhusiwa kula kwa kamba zao na pia ukusanyaji hafifu wa kodi stahiki.

Narudia tena kusema kwamba kama serikali haikusanyi kodi inotakiwa na pia hata ikikusanya kodi hizo na mapato mengine na yakawa pungufu, basi serikali hiyo itsshindwa kuendesha shughuli zake kikamilifu.

Sasa kwanini Dotto Biteko?

Dotto Biteko katika vyeti vyake anacho Cheti cha usimamizi (management) cha Uchina. Hivyo huenda kutokana na kazi aloifanya pale wizara ya madini ameonekana (huenda) atasaidia wizara nyeti ya nishati.

Hivyo taasisi zote ikiwemo EWURA na TANESCO, Itambidi azisimamie KIKAMILIFU.

Hilo la kuteuliwa kuwa Naibu waziri mkuu ni kumpa nguvu zaidi kuzisimamia taasisi za serikali ambazo zimedorora kwenye kuleta mapato na pia kwenye kufanya kazi pamoja.

Hivyo basi, Dotto Biteko kateuliwa kuidhibiti wizara ya Nishati na pia kuratibu shughuli za taasisi khasa kwenye fedha ambazo zaibwa kila kukicha.

Kwahiyo ni waziri wa nishati na pia ana nguvu ya unaibu waziri mkuu kwenye kutoa maamuzi magumu.
Hili lako linaweza kuwa limeakisi ukweli kwa kiasi fulani.
Na kwa mintaarafu hii ni kwamba atautumia muda wake mwingi kwenye ofisie ya wizara ya Nishati.
Na tuombe basi iwe hivyo na asije nogewa na ukibwa wa msafara na akaacha kukaa ofisini.
 
Kama sio wivu mbona huongelei ukubwa wa majukumu ya rais?
Hivi kwenye utawala huu watanzania kuna mtu anamajukumu kama rais
Aya toa maon yako
Nimekupuuza wewe!
Wacha niendelee na wanaojitambua kwa hoja!
 
Namuonea huruma waziri wa michezo na sanaa. Hamna hela ya upigaji kwenye iyo wizara. Labd ile billion 30 ya ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa. Hata wakipiga panga haizidi million 100.
Na wahuni pale walishachukua chao mapema sana,huchukua chao kabla ya kusaini mikataba
 
Tatizo moja kubwa ambalo raisi Samia ahangaika nalo ni wizi wa kupindukia ndani ya halmashauri na taasisi za serikali.

Hili amelikiri hadharani na kulithibitisha alipozungumza wiki moja imepita kwamba kuna watu wametengeneza mifumo iso rasmi ndani ya mifumo rasmi inoiibia serikali mapato na fedha zake zingine.

Hata waziri mkuu mwenyewe amesikika akilalamika kuhusu wizi unofanywa na watendaji wa serikali ambao wamekuwa wakiipiga khasa serikali kisawasawa, wengine kwa kamba maalum mpya kutoka sokoni au “latest in the market”.

Hii pia yaficha ukweli kuwa serikali haina fedha za kutosha kutoka kwenye akiba yake.

Lakini haya yote yalianzia pale watu waliporuhusiwa kula kwa kamba zao na pia ukusanyaji hafifu wa kodi stahiki.

Narudia tena kusema kwamba kama serikali haikusanyi kodi inotakiwa na pia hata ikikusanya kodi hizo na mapato mengine na yakawa pungufu, basi serikali hiyo itsshindwa kuendesha shughuli zake kikamilifu.

Sasa kwanini Dotto Biteko?

Dotto Biteko katika vyeti vyake anacho Cheti cha usimamizi (management) cha Uchina. Hivyo huenda kutokana na kazi aloifanya pale wizara ya madini ameonekana (huenda) atasaidia wizara nyeti ya nishati.

Hivyo taasisi zote ikiwemo EWURA na TANESCO, Itambidi azisimamie KIKAMILIFU.

Hilo la kuteuliwa kuwa Naibu waziri mkuu ni kumpa nguvu zaidi kuzisimamia taasisi za serikali ambazo zimedorora kwenye kuleta mapato na pia kwenye kufanya kazi pamoja.

Hivyo basi, Dotto Biteko kateuliwa kuidhibiti wizara ya Nishati na pia kuratibu shughuli za taasisi khasa kwenye fedha ambazo zaibwa kila kukicha.

Kwahiyo ni waziri wa nishati na pia ana nguvu ya unaibu waziri mkuu kwenye kutoa maamuzi magumu.
"Kwahiyo ni waziri wa nishati na pia ana nguvu ya unaibu waziri mkuu kwenye kutoa maamuzi magumu."

Swali!

MAJALIWA KASHINDWA ?
 
Back
Top Bottom