Ushauri: Watoto wametugombanisha

Aisee nyie ni mabwe.. watoto uwa ugomvi wao haudumu yani watoto uwa hawaweki visasi na kugombana katika kucheza kwao ni kitu cha kawaida.
Yani hukutumia busara mtu mzima kabisa kwenda kuingilia ugomvi kwa kumpiga mtoto yule ungewakanya kwa kuwambia wasigombane ndivyo uwa tunafanya..
 

Ndo ujue kuna hatua uliruka maishani. Ugomvi wa watoto huwezi kuingilia tena kwa kumchapa au kumpiga mtoto aliyegombana na mwanao.

Ni sehemu ya maendeleo ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…