tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Ndio shida ya kua na fafafafaaaa huwezi kubebekahabari wanajamvi, aisee ugomvi wa watoto siyo wa kuingilia, kuna siku mwanangu RIZUGE wa miaka minne alikuja kunishtakia kuwa amepigwa na mwenziwe PIZAULO ambaye umri unakaribiana. mimi kwa hasira na uchungu wa mwana nikaenda kumzaba kibao yule mtoto wa jirani aliyempiga mwanangu. baba yake Pizaulo hakukubali na ikapelekea ugomvi mkubwa sana kati yetu sisi watu wazima, cha ajabu jana nimemkuta mwanagu Rizuge na mwenziwe Pizaulo(yule mtoto aliyempiga) wakicheza pamoja!!!, yaani wakati sisi wakubwa hatuongei lakini wao washapatana wanacheza. je sisi wakubwa tuendelee kuchuniana?.
Huna akili wewehabari wanajamvi, aisee ugomvi wa watoto siyo wa kuingilia, kuna siku mwanangu RIZUGE wa miaka minne alikuja kunishtakia kuwa amepigwa na mwenziwe PIZAULO ambaye umri unakaribiana. mimi kwa hasira na uchungu wa mwana nikaenda kumzaba kibao yule mtoto wa jirani aliyempiga mwanangu. baba yake Pizaulo hakukubali na ikapelekea ugomvi mkubwa sana kati yetu sisi watu wazima, cha ajabu jana nimemkuta mwanagu Rizuge na mwenziwe Pizaulo(yule mtoto aliyempiga) wakicheza pamoja!!!, yaani wakati sisi wakubwa hatuongei lakini wao washapatana wanacheza. je sisi wakubwa tuendelee kuchuniana?.
hujanielewa,mleta maada anamaanisha ruge vs bashite.Nimesoma, sio kuchuniana tu, ningehama hata hapo, siwezi kaa na mtu anayemwazibu mtoto wangu kijinga hivyo kwa ajili hiyo. Yani wewe umetumia judgement ya mtoto kuchukua action, ina maana Baba yake naye alipoenda mwambia angekuwa mtu mwenye tabia yako angekuja kukupiga wewe au mke wako? just imagine....
hujanielewa,mleta maada anamaanisha ruge vs bashite.
But hakuna pahali nimesema wapigwe...nimesema wakanyweHata watoto wangu wawili huwa wanagombana, sasa unampiga yupi? this is so wrong .... ni WATOTO anyways.
Mkuu bado hujasoma between the lines, some comments za members ujue hao watoto ni Akina Nani.Nimesoma, sio kuchuniana tu, ningehama hata hapo, siwezi kaa na mtu anayemwazibu mtoto wangu kijinga hivyo kwa ajili hiyo. Yani wewe umetumia judgement ya mtoto kuchukua action, ina maana Baba yake naye alipoenda mwambia angekuwa mtu mwenye tabia yako angekuja kukupiga wewe au mke wako? just imagine....
mia.ha ha ha .... mi ni kilaza kweli .... I didn't read between the line Kaka, samahani!
FactWEWE NI WA KUFUNGA KABISA, UNAPIGAJE KIBAO MTOTO ASIYE KUWA WAKO? HUYO MTOTO ANGEKUWA WANGU MIMI WALA NISINGEKUFANYA KITU, NI KITUONI TU .. NA UNGEINGIA KWENYE SHIDA, MIMI SIWEZI PIGA MTOTO ASIYE KUWA WANGU, WATOTO WANA MAMBO YAO MENGI SANA .....