Ushauri wataalam, nahitaji kuweka hizi speaker geto

Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Sp 8800 umetoa wapi ni model ya 2012 ..au umenunua kwa mtu
 
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Hizo alipu enyewe hazina mkito wa sp 1002 zile class d
 
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Wajomba tutafute hela.

Haya ni matakataka kwenye ulimwengu wa Music
 
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Allip ni subwoofer Tu kama subwoofer zingine tafuta hi fi nzuri brand kama lg Samsung na hisense kama mfuko unaruhusu tafuta portable za JBL up to charge 5
 
Niliona kwenye nyuzi kadhaa uko deep sana kwenye music. Nashukuru mtaalam tena hapo demu ataliwa kwa mziki murua kabisa, na hilo samsung umelielezea vizuri sana vipi kwa bei hiyo pia naweza pata sony kali. Au kwa swali rahisi sony na samsung yupi yuko good sekta ya music?
Chukua Samsung ndugu yangu utanishukuru baadae
 
Kuna hizi Studio Monitor Speakers wanazotumia producers wa music, aisee kama mtu akijilipua akapata angalau nchi 8 ya brand yoyote hatajuta. Binafsi natumia M Audio BX8 naenjoy mno na kila anayekuja kwangu anashangaa sound inayotoka.
 
Naomba nitajie baadhi
Achana na matakataka ya kichina hayo kama unataka mziki mzuri na budget yako ni ndogo nunua zile redio kubwa za CD changer na zina cassette pamoja na speaker zake huwa ziko 2 kuna za sony au hitachi au sanyo nk zile kubwa za CD zenye pingili pigili mwambie fundi akufungie kikadi fulani hiv kina usb,bluetooth na memory card mziki wa hapo utaukimbia hayo matakataka yataingia mara 10
Tizama picha hiyo
Screenshot_20221224-193009.jpg
 
Kuna hizi Studio Monitor Speakers wanazotumia producers wa music, aisee kama mtu akijilipua akapata angalau nchi 8 ya brand yoyote hatajuta. Binafsi natumia M Audio BX8 naenjoy mno na kila anayekuja kwangu anashangaa sound inayotoka.
Picha tafadhali
 
Picha mkuu
Bei inacheza ngapi
 
Hizo AILIPU nazo ni magumashi tu. Nimezitumia huu mwaka wa pili.
Ndani ya miezi kumi ya mwanzo spika moja ikawa inazingua, mara ikorome mara igome kutoa sauti shida tupu. Yaani sauti ikipanda juu unaweza kuta zinajiamulia tu kustop papohapo kutoa sauti
 
Tutafute hela wazee tuachane na hizi takataka za wachina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom