Ushauri wataalam, nahitaji kuweka hizi speaker geto

Ushauri wataalam, nahitaji kuweka hizi speaker geto

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
732
Reaction score
2,443
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa nina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.

93543529-5D00-434D-BAB9-834B42365020.jpeg
 
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Hizi Allip ni MADE IN GERMANY au nazo ni mchina tu kama hiyo san peano?
 
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Seapiano ni nzuri sana sema wewe labda utunzaji wako sio mzuri mimi natumia seapiano mwaka wa nne huu no kuzingua bado inapiga vile vile,

Sema tu labda umeamua tu kuiama seapiano lakini kama utunzaji wako ni mbaya na hizo azita dumu.
 
Kumbe kwa bajet yangu ya 600k naweza kupata mziki wa sony mzuri si ndiyo ?
Unapata Used, nenda Kariakoo mitaa ya hapo Maduka yanauza simu mkabala na Shule ya Watoto wasioona/Mkapa Sec maduka ya juu ghorofan kuna Wapemba wanauza Used za hatari mnoo. Au nenda Msasani kule kama unaenda Kawe kuna Used za kutoka Europe pia utapata nzuri kwa bajeti yako
 
Mnapata wapi muda wa kusikiliza muziki,sie bodaboda tunateseka sana
 
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.

Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900

Suluhisho lako ungepata kodtec subwoofer kati ya kt 2912 au kt 2913 ungefurahia sana maana mkito wake si mchezo na bei zake ni 400-450
Jaribu kutafuta madukani japo kwa sasa zimeadimika kidogo.
 
Nishauri mtaalamu nichukue muziki wa aina gani kwa ajili ya geto yani mziki uwe unapiga kweli kweli. Na kwa uzoefu wako brand gani wako njema sekta hiyo. Bajeti yangu ni 600k
Kilo sita nenda Zenji hapo unavuta mziki Samsung Blueray yenye output ya 1200RMS (used) unarudi bara chenji iliyobaki unanunua K-Vant unamwita demu wako mnakula mziki baadae unamgegeda anaondoka na msimbazi wa kupandia bodaboda
 
Niliona kwenye nyuzi kadhaa uko deep sana kwenye music. Nashukuru mtaalam tena hapo demu ataliwa kwa mziki murua kabisa, na hilo samsung umelielezea vizuri sana vipi kwa bei hiyo pia naweza pata sony kali. Au kwa swali rahisi sony na samsung yupi yuko good sekta ya music?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom