Nenda na ndoto zako,Angalia mahitaji ya soko ni Nini,chukua hatuaHabari zenu wapendwa.
Mimi Niko salama.
Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri.
Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko.
Nimechoka pia Kuishi ukanda wa pwani ninatamani maisha mapya na watu wapya.
Hata kama nitaajiriwa pia huko sio mbaya.
Sijawahi Kuishi huko ila wengi wamekuwa wakisifia kwamba mzunguko ni mzuri huko.
Sasa ninaomba mnisaidie Kati ya
Geita,
Kahama na
Nyamongo
ni wapi pazuri kwa mfanyabiashara?
Na ni biashara gani halali ninaweza kufanya nipate mzunguko mzuri angalau niendeshe maisha.?
Sina mtaji mkubwa ni mtaji wa Kati tu wa wwjasiriamali wa kawaida.
Ninatanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoguswa na hili.
Kahama Ina Hela , ila wengi wameshatengeneza mifereji Yao ya HelaHabari zenu wapendwa.
Mimi Niko salama.
Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri.
Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko.
Nimechoka pia Kuishi ukanda wa pwani ninatamani maisha mapya na watu wapya.
Hata kama nitaajiriwa pia huko sio mbaya.
Sijawahi Kuishi huko ila wengi wamekuwa wakisifia kwamba mzunguko ni mzuri huko.
Sasa ninaomba mnisaidie Kati ya
Geita,
Kahama na
Nyamongo
ni wapi pazuri kwa mfanyabiashara?
Na ni biashara gani halali ninaweza kufanya nipate mzunguko mzuri angalau niendeshe maisha.?
Sina mtaji mkubwa ni mtaji wa Kati tu wa wwjasiriamali wa kawaida.
Ninatanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoguswa na hili.
Penzi ni kama mlima mlima Kilimanjaro huwezi panda ukiwa china mpaka uje KilimanjaroMmekataa kutoa code eeh
Very stupid comment!Nenda Kahama. Biashara ya ngono inalipa sana huko!😡😡😡😡