Ushauri: Wapi ilipo bata/starehe ???

Ushauri: Wapi ilipo bata/starehe ???

Hzo 25m nenda nazo zote afu kopa na zngne kama 30m hv hapo sawa manak kulala pale hyatt regency ni 20m huduma zote bado usafir mtoto mkali andaa 10m unaona sasa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Masihara hayo boss.

Sent using Uncesored Device
 
Sijaona ukiweka bajeti ya sadaka kwa wahitaji au wazazi n.k,km wazazi wapo kanunue mbuzi nenda kwenu kachinje ,nunua na vinywaji alika na majirani,mle mnywee mcheze yaani hilo in bonge la fun,chenji itakayobaki wanunulie mahitaji waliyonayo au nenda orphanage center yoyote ufanye hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa ni kitu cha kawaida kwang na iko kwenye normal expenses

Sent using Uncesored Device
 
Kwenye hiyo 3m nigawie laki tu fanya kama umetoa sadaka
 
Wakuu habari zenu.

Muda kidogo nilipiga deal flan na limelipa nimeingiza 25M kwa mtaji wa 2M tu kwa muda wa miezi miwili.

Nimetenga 6M kwa kure-invest, 8M for savings, 5M for normal expenses nikisubiri return nyingine after two months tena, 3M for emergencies and another 3M for fun.

Kama bajet yang ya Bata mnavyoiona (3M) nipeni direction wapi naweza pata bata za kutosha mfano:
- Vinywaj/vyakula vizuri
- Mademu wakali (all types)
- Massage services
- Clubs etc



Sent using Jamii Forums mobile app
1553441421882.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom