Ushauri wangu kwako kwa mwaka 2022.

Ushauri wangu kwako kwa mwaka 2022.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,825
Reaction score
40,347
Usimuamini yeyote chini ya jua kila mtu mchukulie kwa tahadhari. Hata mama yako mzazi usimuamini. Utakuja nishukuru siku yakikukuta. Talking from experience.
 
Hata mama yako humwamini mkuu

Utakuwa umepigwa na kitu kizito kichwani wewe
 
Hata mama yako humwamini mkuu

Utakuwa umepigwa na kitu kizito kichwani wewe
My mom had never upseted me but am repeating never trust anyone except God if u r a believer.
 
Acha ungese...ushauri gani huu sasa.

Au ushapiga cha Arusha
 
Walatini wana msemo wao "experiencia lochet" experience teaches ishini kwa tahadhari wakuu maisha ya kuaminiana yaliisha miaka ya 80 be careful and cautious.
 
Usimuamini yeyote chini ya jua kila mtu mchukulie kwa tahadhari. Hata mama yako mzazi usimuamini. Utakuja nishukuru siku yakikukuta. Talking from experience.
Huu ushauri kawape wa nyumbani kwako! Ushauri wa kisengerema sana huu, yaani hata mama yako usimwamini? Nyie ndio mnawachinja mama zenu na kuwacharanga kama kitimoto!!
 
Usimuamini yeyote chini ya jua kila mtu mchukulie kwa tahadhari. Hata mama yako mzazi usimuamini. Utakuja nishukuru siku yakikukuta. Talking from experience.
wee tyari mchepuko keshakupiga kitu kizito kichwani, na ukome usirudie sikuingine.

nyie ndo wale watu demu likikupiga busu, unaona umeiteka dunia nzima,

siku unakutana na huyo unaezani ni demu lako pekeako, analiwa kiboga afu anakukana mbele ya linalomtafuna

ndo mnaanza kuja kulialia humu JF. Ndo ukome sasa uache kuamini mademu.
 
Back
Top Bottom