- Thread starter
- #41
Hatukuoana soma vizuri thread yangu!Una maana kuwa mlichat mwaka mzima bila kuonana? Mlipo onana to mkaoana bila hata kufika kwake?
Ulikurupuka ndugu. Pole lakini
Hatukuoana soma vizuri thread yangu!Una maana kuwa mlichat mwaka mzima bila kuonana? Mlipo onana to mkaoana bila hata kufika kwake?
Ulikurupuka ndugu. Pole lakini
NDIYO MAANA NIKASEMA, NI VIZURI KUONANA USO KWA USO NA UMPENDAYE. ILA UKWELI NI KWAMBA WENGI NI WAONGO!Mitandaoni ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine.. Tatizo lake kubwa tu ni kwamba unaanza kuwasiliana na mtu usiye fahamu uhalisia Wake.
Ila ukweli kwamba wapo watu halisi tena wazuri tu wenye sifa zote nzuri na mbaya kwani watu hawa ni wale wale walioko kwenye jamii zetu.
Pia wapo watu fake wasio halisia na matapeli pia, wapo wanaume wenye kuigiza kuwa ni wanawake na wapo wanawake wenye kuigiza kuwa ni wanaume ama kujipachika sifa/tabia zisizo zao ni Jukumu lako wewe unayeanzisha mahusiano/mawasiliano kubaini uhalisia Wake.
NB; Buyers be ware!
Exactlymwaka mzima hamjaonana mnatumiana tu picha [emoji23][emoji23] pole sana mkuu mlivyoonana tu ndoa
hivi unajua ndoa si jambo la kukurupuka kabla ya kuingia kwenye ndoa lazima mchunguzane tabia ujue mwenzio ana tabia zipi
Utaonana naye vipi kwa mfano kabla haujaanza kuwasiliana naye humu mitandaoni?NDIYO MAANA NIKASEMA, NI VIZURI KUONANA USO KWA USO NA UMPENDAYE. ILA UKWELI NI KWAMBA WENGI NI WAONGO!
HUJANIELEWA! KABLA HAMJAENDELEA NA MAWASILIANO PANGENI KUONANA USO KWA USO ILI MFAHAMIANE VIZURI. NARUDIA NI AFADHALI MTU UNAYEMFAHAMU KULIKO UNAYEMDHANIA!!!Utaonana naye vipi kwa mfano kabla haujaanza kuwasiliana naye humu mitandaoni?
PIA KUONANA KUTAKUSAIDIA KUEPUKA KUANZISHA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA DADA YAKO AU NDUGU YAKO WA DAMU!Utaonana naye vipi kwa mfano kabla haujaanza kuwasiliana naye humu mitandaoni?
hujahesabu miamalamwaka mzima hamjaonana mnatumiana tu picha [emoji23][emoji23] pole sana mkuu mlivyoonana tu ndoa
hivi unajua ndoa si jambo la kukurupuka kabla ya kuingia kwenye ndoa lazima mchunguzane tabia ujue mwenzio ana tabia zipi
jamaa alikuwa anabadilishana miamala kwa picha mwaka mzimaMleta mada ninakuunga mkono kabisa, ni afadhali nionane na mtu kuliko haya mambo ya online na avatar.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe watu wa hivi wapohujahesabu miamala
Ok sawaMleta mada ninakuunga mkono kabisa, ni afadhali nionane na mtu kuliko haya mambo ya online na avatar.
Basi umenipa nguvu na ndo sitaoa sasaMi naona siku hizi kuna mazombi tu,waoaji na waolewaji walishakwisha,ukifika mahakamani huko uone ndoa zinavyovunjwa utatamani kulia,watu wanaachana kama hawana akili nzuri
You are right to the extreme Shunie... Pls take my compliment.mwaka mzima hamjaonana mnatumiana tu picha [emoji23][emoji23] pole sana mkuu mlivyoonana tu ndoa
hivi unajua ndoa si jambo la kukurupuka kabla ya kuingia kwenye ndoa lazima mchunguzane tabia ujue mwenzio ana tabia zipi
Hebu tuweke wazi mkuu.Humu tunachart tu, ukivutiwa na mtu mnapeana namba na mnatafuta kukutana.
Ukiona anakwepa kukutana jua ni wale unaotakiwa kupokelea simu uvunguni Mwa meza.
Akipiga ukamuona unaizima moja Kwa moja.
Unajifanya kama huna makubaliano na mtu yeyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aseeh... ngoja nianze