Ushauri wangu kwa watu wanaotafuta wachumba mitandaoni

Nianze kwa kusema kuwa si lengo langu kukatisha tamaa watu ila ninashauri tu hasa kulingana na kilichonipata.

Mimi niliwahi kupata mchumba kupitia mitandao ya kijamii. Baada ya kuchat kwa takribani mwaka mmoja nikajiridhisha kuwa ninampenda. Tukapanga kuonana. Ajabu baada ya kuonana nikagundua kuwa alikuwa tofauti sana na jinsi alivyokuwa amenieleza na kujifafanua hata kwenye picha!

Zaidi ya yote alikuwa muongo. Akidai hana watoto na kumbe alikuwa nao.
KIMSINGI KAMA KWELI UMEMPENDA MTU JITAHIDI MUONANE USO KWA USO. MAANA NI AFADHALI MTU UNAYEMFAHAMU KULIKO UNAYEMDHANIA!!! MIMI WANGU HATUKUENDELEA KWANI BAADA YA KUFIKA KWAKE NILIKUTANA NA HALI AMBAZO NISINGEWEZA KUVUMILIANA NAZO!
Hivi unaweza kumpenda mtu ambae hujawahi kumuona.
 
Humu tunachart tu, ukivutiwa na mtu mnapeana namba na mnatafuta kukutana.
Ukiona anakwepa kukutana jua ni wale unaotakiwa kupokelea simu uvunguni Mwa meza.

Akipiga ukamuona unaizima moja Kwa moja.
Unajifanya kama huna makubaliano na mtu yeyote
 
Nianze kwa kusema kuwa si lengo langu kukatisha tamaa watu ila ninashauri tu hasa kulingana na kilichonipata.

Mimi niliwahi kupata mchumba kupitia mitandao ya kijamii. Baada ya kuchat kwa takribani mwaka mmoja nikajiridhisha kuwa ninampenda. Tukapanga kuonana. Ajabu baada ya kuonana nikagundua kuwa alikuwa tofauti sana na jinsi alivyokuwa amenieleza na kujifafanua hata kwenye picha!
Mwaka mzima unawasiliana na mtu hajamuona?
 
Hivi ukimpata demu Facebook ndoa inaenda fanyika instagram na honeymoon tweter eeeeeh!
 
Nianze kwa kusema kuwa si lengo langu kukatisha tamaa watu ila ninashauri tu hasa kulingana na kilichonipata.

Mimi niliwahi kupata mchumba kupitia mitandao ya kijamii. Baada ya kuchat kwa takribani mwaka mmoja nikajiridhisha kuwa ninampenda. Tukapanga kuonana. Ajabu baada ya kuonana nikagundua kuwa alikuwa tofauti sana na jinsi alivyokuwa amenieleza na kujifafanua hata kwenye picha!

Zaidi ya yote alikuwa muongo. Akidai hana watoto na kumbe alikuwa nao.
KIMSINGI KAMA KWELI UMEMPENDA MTU JITAHIDI MUONANE USO KWA USO. MAANA NI AFADHALI MTU UNAYEMFAHAMU KULIKO UNAYEMDHANIA!!! MIMI WANGU HATUKUENDELEA KWANI BAADA YA KUFIKA KWAKE NILIKUTANA NA HALI AMBAZO NISINGEWEZA KUVUMILIANA NAZO!
ulipiga japo mara moja?!
 
Tunasubiri second PHASE ya report yako
 
Mi naona siku hizi kuna mazombi tu,waoaji na waolewaji walishakwisha,ukifika mahakamani huko uone ndoa zinavyovunjwa utatamani kulia,watu wanaachana kama hawana akili nzuri
 
Yaani mwaka mzima, mtu kwa picha usiwe umemjua?? alikuwa anachagua picha za kukupa ama??
Hata ingekuwa wewe lazima uchague PICHA za kumtumia umpendae
 
Back
Top Bottom