Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 230
- 541
Ni kweli mapokezi ya Tundu Lissu ya tarehe 27/7 tayari yameharibika na Kuna zuio la mikusanyiko kwa barua inayo zunguka mitandaoni.
Nashauri wapambe wa Lissu waandae utaratibu utakao mfanya Lissu ashiriki kwenye hatua zote za kuaga na kumzika rais wetu mstaafu kuanzia Dar hadi mtwara,waandae waandishi wa habari wafanye coverage kwa kila hatua atakayo fanya.
Najua kwa sasa ni vigumu kwa chama kuandaa utaratibu wa kumbrand kwa vile wataonekana wanambeba kwani ni miongoni wa watia nia kugombea uraisi,hivyo wapambe wake wachukue jukumu la kuandaa utaratibu unao faa kutengeneza attention na popularity kwa mh Lissu.