Ushauri wangu kwa wanaotarajia kufunga ndoa/kufanya send off

Kuna mtu kaniamkia juzi ili anikumbushe mchango wakati kanizidi umri, nilicheka sana.
Msg wanatuma kama dozi ya Malaria asubuhi,mchana na jioni
ukisha changa tu hawakujui hata kupata kadi kadi ni kwa mbinde sana
 
Back
Top Bottom