Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Ni kweli haipendezi,ila Kama mwanaume alikuambia hakutaki na akaoa mke mwingine, kwa nini ujipeleke. Ni bora uzae na baba tofautiKuna wengine wanaona kuzaa kila mtoto wa baba yake haipendezi
[emoji108] [emoji108]Sio single mothers tu, mwanamke yoyote kumvulia nguo mwanaume aliyekuacha kaenda kwa mwanamke mwingine ni ujinga, unafanya udharaulike, ifike kipindi mtu utambue mwili wako unathamani kubwa sana.
Misstrace mungu wa wanaume anakuona.Sio single mothers tu, mwanamke yoyote kumvulia nguo mwanaume aliyekuacha kaenda kwa mwanamke mwingine ni ujinga, unafanya udharaulike, ifike kipindi mtu utambue mwili wako unathamani kubwa sana.
ni ujinga zaidi mwanamke yoyote kumpa mwili wako mwanaume yoyote ambae sio mume wakoSio single mothers tu, mwanamke yoyote kumvulia nguo mwanaume aliyekuacha kaenda kwa mwanamke mwingine ni ujinga, unafanya udharaulike, ifike kipindi mtu utambue mwili wako unathamani kubwa sana.
Sio single mothers tu, mwanamke yoyote kumvulia nguo mwanaume aliyekuacha kaenda kwa mwanamke mwingine ni ujinga, unafanya udharaulike, ifike kipindi mtu utambue mwili wako unathamani kubwa sana.