kahuruku
Member
- May 14, 2013
- 75
- 35
Kutokana na umri ulio nao. Ninaamini iko siku moja utaamua uchukue form ugombee UONGOZI wajuu wa Nchi (Rais). Lakini WATU maranyingi huangalia background ya mtu. Kuwa makini Na maamuzi yako ya sasa maana yana nafasi kubwa ktk future yako. Hii issue ya matangazo ya Bunge imekuharibia sana kama waziri mwenye dhamana.