Ushauri wangu kwa Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wangu kwa Magufuli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mess, Jan 14, 2011.

 1. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu Magufuli una reputation nzuri sana katika jamii ya Tanzania kwa utendaji kazi wako mzuri sana ambao hata mimi pia nausifu sana. Jana nimekusikia ukielezea masuala ya bumps bara barani jambo ambalo ni zuri sana na kila mtu analisifu kuwa kuna watu ambao hawawajibiki vizuri (Polisi) na ndio maana ajari haziishi na suluhisho la hizo ajali si bumps.
  Sasa ushauri wangu kwako ni kwamba uwe smart unapowakilisha ujumbe wako kwa wanajamii, nimekusikia jana unasema sio ajali ikitokea mnalalala bara barani then mnajengewa bumps, kama wewe engewatuma jamaa wa maji ya kuwasha wafanye kazi yao. Hiyo sio kauli nzuri hivyo ni bora uwe unaongea machache ili usipitilize na kuudhi wananchi maana pale kibaha watu wawili walikuwa siku moja kwa ajali na kulala barabarani haikuwa kuomba bumps ila ni serikali kutafuta suluhisho, na wao walivyo uelewa finyu wanajua pale tatizo ni bumps.

  nawakilisha
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi kuhusu bumps sio Nyarandu ndo aliongea na Magufuri aliongelea ujenzi wa iringa to dodoma road contracts
  I stand to be corrected
   
 3. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni magufuli kaka, jana nimemsikia wapo Radio ifm akisema hiki kitu sasa sijui kama alianzisha Nyarandu na Magufuli kakikazia tu.
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni magufuli 100% aliyeanzisha
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi hizo kwenye blue ni products za ccm?
   
Loading...