Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Una cheka na uko mkoa wa vicha uko kaa vzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kweli ila kwenda kuweka bank napo shida mawakala wapo kila konaSio rahisi kubeba hela kila ufungapo biashara
Sasa kununua vyakula na kuweka ndani na kinachoendelea huko daslam wapi na wapi😅?Una cheka na uko mkoa wa vicha uko kaa vzr 🤣🤣
Sasa wakala nae unataka kila siku abebe hela arudi nazo nyumbani?Ni kweli ila kwenda kuweka bank napo shida mawakala wapo kila kona
Ahahah hujui vzr uliza mwaka 2012 huk hali ilikuwaje kipindi cha gesiSasa kununua vyakula na kuweka ndani na kinachoendelea huko daslam wapi na wapi😅?
Nway krbuni ming'oko
Nyumban ndio ni salama zaidi kuliko kuacha dukani kabisaSasa wakala nae unataka kila siku abebe hela arudi nazo nyumbani?
No comment 🤣 itategemea iyo siku nimeamka na mood ipiNitakuwa mstari wa mbele kabisa,vipi kijana,utakuwepo?
Yap kiongoziIt's the best alert...
Hapo njiani eheeeNyumban ndio ni salama zaidi kuliko kuacha dukani kabisa
Ila ni kheri kupoteza mauzo ya siku moja ila sio ya wiki nzima kuna wale wanauza mauzo wiki yote hela ina lala dukani bank wana peleka juma tatu ni mbaya sanaHapo njiani eheee
Kuna watu walikataaga kusoma
Watakupiga beto na hela wabebe
Sio uoga ila ukweli siwezi kwenda kuandamana nikaacha familia haina chakula that why nasema mapema sana hili watu wajueAcha uoga
Sio uoga ila ukweli siwezi kwenda kuandamana nikaacha familia haina chakula that why nasema mapema sana hili watu wajue
Leo una poteza biashara ya milion 40 una mkopo bank watu wameiba mali zako una anzia wapi?
Ah! UnaniangushaNo comment 🤣 itategemea iyo siku nimeamka na mood ipi
Hapana kurudi nyuma madeni yana uaUnaanzia hapohapo