Ushauri wangu kwa CHADEMA

Ushauri wangu kwa CHADEMA

Kinumbo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
3,188
Reaction score
5,811
Napenda kutoa ushauri huu kwa wafuasi wa CHADEMA na wanao kiunga mkono kwa namna moja ama nyingine. Toka uongozi mpya uingie madaraka katika chama hicho yaani mwenyekiti wake Tundu Lissu na makamu wake John Heche kumekuwa na kashi kashi nyingi za hapa na pale.

Kwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania ni wazi kuwa wanaelewa kuwa katika nchi hii katika chaguzi zake huwa sio za haki na zisizo fuata sheria. Hio iko wao na inaeleweka bila kupepesa macho ata walioko madarakani wanatambua hivyo. Kutokana na hilo CHADEMA ilianza kutoa elimu kwa wananchi ili kupata uelewa wa masuala hayo, hali hiyo ilipelekea mwenyekiti wake kukamatwa na kupewa kosa ya uhaini.

Ushauri wangu viongozi wa CHADEMA kwa sasa wakiongozwa na makamu mwenyekiti John Heche achaneni na hayo mambo fanyeni mambo yenu mengine. Kwa sababu hao mnao itakidi kuwapambania (wananchi) hawana muda kabisa, ndio maana mnakamatwa hadharani kama kuku na hawafanyi chochote, hebu fikiria ingekuwa Kenya.

Kiufupi mnapambana wenyewe, wafuasi na baadhi ya wananchi wanao fuata sera zenu hawako tayari kuwa pamoja na nyie ni waoga kupindukia. John Heche alisema wakutane mahakamani Kisutu, Murilo akapiga biti hakuna mtu kusogea na kweli hawajafika kwa hiyo mnaweza ona ni aina gani ya watu mko nao.

Mimi sio mfuasi wa chama chochote kile cha siasa ila Mwalimu John Heche ile elimu anayo toa kwa wananchi ni wazi kabisa inamgusa kila raia, tatizo liko kwa hao raia. Kiukweli wanao kiunga chama hicho ndio wanawaangusha. Mtaishia kuumizwa na polisi bure, kwahiyo achaneni na hayo masuala.

Leo baadhi ya viongozi wenu wameumizwa na makamu wenu John Heche pamoja na katibu wake John Mnyika mpaka sasa hawajulikani walipo na wafuasi wenu wamekaa kimya tu.

Hawa mnao itakidi mnawapigania (wananchi) hawako tayari na ndio wanawaangusha.
 
Gombe:

Screenshot_20250306-183123_1.jpg

Kwanini usiwashauri CCM na serikali yake kutenda haki?

Ushauri wako huoni umekaa kimachozi ya mamba?
 
CCM hawana cha kupoteza na wale ata useme nini hawasikii mara ngapi wamepigiwa kelele kuhusu hizo haki lakini hawajali kabisa ndio kwanza wako bize na mambo yao.

Hawa CCM hawato fanya mabadiliko yoyote yale kwa maneno maneno kwenye majukwaa, nyinyi wananchi ndio mnatakiwa mfanye jambo. Bila hivyo mkitegemea CHADEMA ndio iwasemee wakati hamko tayari ni kazi bure tu.
Gombe:

View attachment 3314379

Yote hayo hayatuhusu. Ila:

No reforms no election.

Kwani wewe inakuuma nini?
 
Watanzania karibu wote wana imani na uongozi uliopo kutokana na mambo makubwa ya kimaendeleo yanayofanyika. Kina Heche na genge lake wananufaika kwa wanayoyafanya kupitia ruzuku. Wapo kazini. Ninawashauri watanzania wengine ambao sio wanufaika wa ruzuku ya CHADEMA kukataa kudanganywa kuwa wanapiganiwa na kina Heche.
 
CCM hawana cha kupoteza na wale ata useme nini hawasikii mara ngapi wamepigiwa kelele kuhusu hizo haki lakini hawajali kabisa ndio kwanza wako bize na mambo yao.

Hawa CCM hawato fanya mabadiliko yoyote yale kwa maneno maneno kwenye majukwaa, nyinyi wananchi ndio mnatakiwa mfanye jambo. Bila hivyo mkitegemea CHADEMA ndio iwasemee wakati hamko tayari ni kazi bure tu.
Msihofu maana kuanzia Julai kuna mitikisiko itawakumba.
 
Watanzania karibu wote wana imani na uongozi uliopo kutokana na mambo makubwa ya kimaendeleo yanayofanyika. Kina Heche na genge lake wananufaika kwa wanayoyafanya kupitia ruzuku. Wapo kazini. Ninawashauri watanzania wengine ambao sio wanufaika wa ruzuku ya CHADEMA kukataa kudanganywa kuwa wanapiganiwa na kina Heche.
Hiyo ndio akili ya watu wa kijani mnawaza matumbo tuu na ili ufaidike wewe bila kuangalia kizazi chako, watu hawaungi sela tu za chadema kwa sababu ya ruzuku, watu wanaangalia manufaa mapana ya taifa kwa sasa na baadae, btw who are you kutuamulia chama cha kusaport? Eti kama hunufaiki na ruzuku za chadema!!
 
Hakuna cha maana huko CCM, kinacho umiza ni hawa wafuasi wa CHADEMA kutulia kimya utadhani hakuna kinacho endelea.
Watanzania karibu wote wana imani na uongozi uliopo kutokana na mambo makubwa ya kimaendeleo yanayofanyika. Kina Heche na genge lake wananufaika kwa wanayoyafanya kupitia ruzuku. Wapo kazini. Ninawashauri watanzania wengine ambao sio wanufaika wa ruzuku ya CHADEMA kukataa kudanganywa kuwa wanapiganiwa na kina Heche.
 
Upole wa wananchi unajulikana ila kimya chao matokeo ni ya kushangaza
 
Napenda kutoa ushauri huu kwa wafuasi wa CHADEMA na wanao kiunga mkono kwa namna moja ama nyingine. Toka uongozi mpya uingie madaraka katika chama hicho yaani mwenyekiti wake Tundu Lissu na makamu wake John Heche kumekuwa na kashi kashi nyingi za hapa na pale.

Kwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania ni wazi kuwa wanaelewa kuwa katika nchi hii katika chaguzi zake huwa sio za haki na zisizo fuata sheria. Hio iko wao na inaeleweka bila kupepesa macho ata walioko madarakani wanatambua hivyo. Kutokana na hilo CHADEMA ilianza kutoa elimu kwa wananchi ili kupata uelewa wa masuala hayo, hali hiyo ilipelekea mwenyekiti wake kukamatwa na kupewa kosa ya uhaini.

Ushauri wangu viongozi wa CHADEMA kwa sasa wakiongozwa na makamu mwenyekiti John Heche achaneni na hayo mambo fanyeni mambo yenu mengine. Kwa sababu hao mnao itakidi kuwapambania (wananchi) hawana muda kabisa, ndio maana mnakamatwa hadharani kama kuku na hawafanyi chochote, hebu fikiria ingekuwa Kenya.

Kiufupi mnapambana wenyewe, wafuasi na baadhi ya wananchi wanao fuata sera zenu hawako tayari kuwa pamoja na nyie ni waoga kupindukia. John Heche alisema wakutane mahakamani Kisutu, Murilo akapiga biti hakuna mtu kusogea na kweli hawajafika kwa hiyo mnaweza ona ni aina gani ya watu mko nao.

Mimi sio mfuasi wa chama chochote kile cha siasa ila Mwalimu John Heche ile elimu anayo toa kwa wananchi ni wazi kabisa inamgusa kila raia, tatizo liko kwa hao raia. Kiukweli wanao kiunga chama hicho ndio wanawaangusha. Mtaishia kuumizwa na polisi bure, kwahiyo achaneni na hayo masuala.

Leo baadhi ya viongozi wenu wameumizwa na makamu wenu John Heche pamoja na katibu wake John Mnyika mpaka sasa hawajulikani walipo na wafuasi wenu wamekaa kimya tu.

Hawa mnao itakidi mnawapigania (wananchi) hawako tayari na ndio wanawaangusha.
Usichochee nyuma ya keyboard jitokeze hadharani, eti Kenya? Umesahau walivyouawa na kuja kuimba poo, walikuwa wanamjaribu Ruto na wamejua ni Rais kamili sasa wamenyooka. Huwezi kushindana na dola hayo unayoyawaza ni hadithi tu ulizosoma haiwezekani hasa hp kwetu. Watanzania wana akili
 
Ukiwa mfuasi kindakindaki unalipwaaaa, na haya yote yanayojitokeza ni njia ya watu Fran kama kikundi chenye mikakati Yao kupitia upepo wa uchaguzi,, mimi kama punguani sitokubali na ujinga wangu et frani avuruge Amani yangu wakati huo wahusika wakuu wamezificha Familia zao, kikinuka na wao wanasepa ughaibuni,, hiyo ni michezoooooooooo
 
Hiyo ndio akili ya watu wa kijani mnawaza matumbo tuu na ili ufaidike wewe bila kuangalia kizazi chako, watu hawaungi sela tu za chadema kwa sababu ya ruzuku, watu wanaangalia manufaa mapana ya taifa kwa sasa na baadae, btw who are you kutuamulia chama cha kusaport? Eti kama hunufaiki na ruzuku za chadema!!
Jifunze kwanza kuandika Mr Keyboard Warrior
 
Napenda kutoa ushauri huu kwa wafuasi wa CHADEMA na wanao kiunga mkono kwa namna moja ama nyingine. Toka uongozi mpya uingie madaraka katika chama hicho yaani mwenyekiti wake Tundu Lissu na makamu wake John Heche kumekuwa na kashi kashi nyingi za hapa na pale.

Kwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania ni wazi kuwa wanaelewa kuwa katika nchi hii katika chaguzi zake huwa sio za haki na zisizo fuata sheria. Hio iko wao na inaeleweka bila kupepesa macho ata walioko madarakani wanatambua hivyo. Kutokana na hilo CHADEMA ilianza kutoa elimu kwa wananchi ili kupata uelewa wa masuala hayo, hali hiyo ilipelekea mwenyekiti wake kukamatwa na kupewa kosa ya uhaini.

Ushauri wangu viongozi wa CHADEMA kwa sasa wakiongozwa na makamu mwenyekiti John Heche achaneni na hayo mambo fanyeni mambo yenu mengine. Kwa sababu hao mnao itakidi kuwapambania (wananchi) hawana muda kabisa, ndio maana mnakamatwa hadharani kama kuku na hawafanyi chochote, hebu fikiria ingekuwa Kenya.

Kiufupi mnapambana wenyewe, wafuasi na baadhi ya wananchi wanao fuata sera zenu hawako tayari kuwa pamoja na nyie ni waoga kupindukia. John Heche alisema wakutane mahakamani Kisutu, Murilo akapiga biti hakuna mtu kusogea na kweli hawajafika kwa hiyo mnaweza ona ni aina gani ya watu mko nao.

Mimi sio mfuasi wa chama chochote kile cha siasa ila Mwalimu John Heche ile elimu anayo toa kwa wananchi ni wazi kabisa inamgusa kila raia, tatizo liko kwa hao raia. Kiukweli wanao kiunga chama hicho ndio wanawaangusha. Mtaishia kuumizwa na polisi bure, kwahiyo achaneni na hayo masuala.

Leo baadhi ya viongozi wenu wameumizwa na makamu wenu John Heche pamoja na katibu wake John Mnyika mpaka sasa hawajulikani walipo na wafuasi wenu wamekaa kimya tu.

Hawa mnao itakidi mnawapigania (wananchi) hawako tayari na ndio wanawaangusha.
Umejitahidi sana kuhalalisha upumbavu.
Kwa hiyo hao Chadema hawakupanii wewe?
 
Wafuasi wa CHADEMA ni bure kabisa

Back
Top Bottom