Ushauri wangu kwa BAKWATA

Ushauri wangu kwa BAKWATA

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Bakwata ni taasisi inayotambuliwa na serikali kama wawakilishi wa waislam Tanzania, kibaya zaidi ni kwamba viongozi wake wengi wanajua elimu akhera tu.Ninaishauri hii taasisi wafumue uongozi wote na kubadilisha katiba yao ili iendane na ulimwengu wa dunia.Nashauri waweke kigezo cha walau degree moja kwa kila kiongozi wa mkoa mpaka mufti.Na kuwepo na wataalamu wa kila Nyanja ili iendane na hali ya dunia kwa sasa ili iwe na mafanikio katika jamii na kiimani

Nwasilisha mada
 
Boko Haram
 
Ndo mana nawashauri waifumue taasisi yao ili iendane na dunia ya sasa.Haiwezekani mufti hana hata degree wala diploma.Hii ni aibu
 
Vyovyote iwavyo alimradi wana Katiba na miongozo ya kuendesha taasisi yao, sidhani kama yatujuzu chochote sisi. La muhimu zaidi ni Bakwata kwa miongoni mwa wanaoifanya dunia kuwa mahali salama zaidi pa kuishi. Angalau watoe kauli kuonesha msimamo wao dhidi ya ugaidi kitu ambacho sijawahi kukisikia kutoka Bakwata asilani.
 
Bakwata ni taasisi inayotambuliwa na serikali kama wawakilishi wa waislam Tanzania, kibaya zaidi ni kwamba viongozi wake wengi wanajua elimu akhera tu.Ninaishauri hii taasisi wafumue uongozi wote na kubadilisha katiba yao ili iendane na ulimwengu wa dunia.Nashauri waweke kigezo cha walau degree moja kwa kila kiongozi wa mkoa mpaka mufti.Na kuwepo na wataalamu wa kila Nyanja ili iendane na hali ya dunia kwa sasa ili iwe na mafanikio katika jamii na kiimani

Nwasilisha mada

Jua kwamba uchaguzi wa bakwata unasimamiwa na serikali, na serikali inamuweka kiongozi anaejua kusoma na kuandika kwa manifaa yao,
 
Bakwata ni taasisi inayotambuliwa na serikali kama wawakilishi wa waislam Tanzania, kibaya zaidi ni kwamba viongozi wake wengi wanajua elimu akhera tu.
Mufti Simba hajui kusoma wala kuandika. Anayemsomea magazeti na nyaraka za ofisi ni Alhad Mussa Salum sheikh wa Daslam
 
Vyovyote iwavyo alimradi wana Katiba na miongozo ya kuendesha taasisi yao, sidhani kama yatujuzu chochote sisi. La muhimu zaidi ni Bakwata kwa miongoni mwa wanaoifanya dunia kuwa mahali salama zaidi pa kuishi. Angalau watoe kauli kuonesha msimamo wao dhidi ya ugaidi kitu ambacho sijawahi kukisikia kutoka Bakwata asilani.

Magaidi kama Marekani na Israel wanaoua watoto na wanawake wa Palestina Bakwata ilishatoa tamko la kuwalaani
 
Al Shabbab wafanye haraka kuja tz kuwatia adabu makafiri
 
Magaidi kama Marekani na Israel wanaoua watoto na wanawake wa Palestina Bakwata ilishatoa tamko la kuwalaani

... ila wanaochambua watu kwa imani zao na kuwauwa wale wasio wa dini yao sijasikia Bakwata ikiwalaani. Hao hao akina "the Custodian of the Two Holy Mosques" kila uchao kiguu na njia kwa makafir - akili matope.
 
Vyovyote iwavyo alimradi wana Katiba na miongozo ya kuendesha taasisi yao, sidhani kama yatujuzu chochote sisi. La muhimu zaidi ni Bakwata kwa miongoni mwa wanaoifanya dunia kuwa mahali salama zaidi pa kuishi. Angalau watoe kauli kuonesha msimamo wao dhidi ya ugaidi kitu ambacho sijawahi kukisikia kutoka Bakwata asilani.

Mkuumbona unajichanganya,watu amba uelewa ao uhuu mamo ya kidunia na dunia inataka nin kwa sasa unategemea watotamko la aina ani.Mi naomba wafumue kwazauongozi wao na wachaguane wenye angalau dege moja
 
Ukizungumzia Bakwata unamzungumzia Nyerere, ama kuweni wakweli au mada hii ifungwe
 
Back
Top Bottom