Umeisha sema ACT NA NCCR wana mbunge mmoja mmoja ktk binge la Jamuhuri CDM na CUF wanao wengi hizo nafasi waachiwe ACT/NCCR na wao wapanuke kisiasa mtakuwa mmejenga Ukuta bora kuliko kuparaganyika na style iliyo tumiwa CDM kupata wa gombea ni ya kidikiteita tena Hawa kuzingatia Jinsia wajitafakari wachukue hatua
Huu si unabii ni vitisho. Kama iliyokuwa wakati wa uchaguzi mkuu alijiona yenye mjanja acha aendelee mambo ya kutishiwa nyau hapa hakuna mtoa pesa aisha pewa ubalozi akiweza amfuate.Upinzani Wana Akili Sana na Wanajua Lazima Ziwepo Propaganda Kama Hizi Kuhakikisha Hamsimami na Mimi Nimewambia Chagueni Kusuka Ama Kunyoa. Angalieni wapi patawapa faida au nguvu msiwasikilize propagandist hawa wanaoleta maneno mara kuungana na Msaliti. Nimesema Yaliyokwisha Pita Yamepita Nisikilizeni Mimi ninabii Mzuri na kwenye andiko langu mimi nimewapa resolution nzuri ya kukutana na kuja na Mkakati utakaowaweka pamoja zaidi. It is never too Late. I believe Mtaupokea Unabii Huu
Hovyo kabisa, ndo mwisho wako wa kufikiri
majimbo ya ubunge cuf wana 37 chadema wana 35!! au uchaguz 2015 haukukuta tanzania??Majimbo yapi unaongelea ndugu
Mnataka kuwarubuni tu ACT. Chadema nyie mafisi sana na wabinafsi wa kutupwaNimesema Post hii Si ya Chama Cha CHADEMA ni ya Mwanachama Mwenye Maono, Hivyo agument za CHADEMA inamrubuni Zitto siyo sahihi hata kidogo. Lakini Pia unapotafuta kujenga unaanza na rasilimali ulizo nazo ndani kabla hujaenda kuomba. Huwezi kwenda kuomba bati na Saruji huku huna kiwanja utakapojengea. Kujenga Umoja ndani ya upinzani ndiko kunaweza kuwasaidia kwa pamoja kuomba kura kwa wabunge wa CCM
Leo umebanwa na haja unaongelea ushirikiano.ACT walishapeleka barua UKAWA kuomba waingizwe lakini UKAWA wakamkataa Zitoo na ACT yake eti ni msali na kibaraka wa CCM.Huo ushirikano unaotaka leo hauwezekani duniani wala mbinguni kila mtu atakwenda na hesabu zakeNimesema Post hii Si ya Chama Cha CHADEMA ni ya Mwanachama Mwenye Maono, Hivyo agument za CHADEMA inamrubuni Zitto siyo sahihi hata kidogo. Lakini Pia unapotafuta kujenga unaanza na rasilimali ulizo nazo ndani kabla hujaenda kuomba. Huwezi kwenda kuomba bati na Saruji huku huna kiwanja utakapojengea. Kujenga Umoja ndani ya upinzani ndiko kunaweza kuwasaidia kwa pamoja kuomba kura kwa wabunge wa CCM
ACT ina ngapi?majimbo ya ubunge cuf wana 37 chadema wana 35!! au uchaguz 2015 haukukuta tanzania??
hahhahahhha mbona mliwaita cuf chama cha waarabu na sultan na magaidi ila mkakubali kuunda SUK nao???? mambo yanabadilioa na majira and uhitaji!!!!Leo umebanwa na haja unaongelea ushirikiano.ACT walishapeleka barua UKAWA kuomba waingizwe lakini UKAWA wakamkataa Zitoo na ACT yake eti ni msali na kibaraka wa CCM.Huo ushirikano unaotaka leo hauwezekani duniani wala mbinguni kila mtu atakwenda na hesabu zake
hahhahahhha mbona mliwaita cuf chama cha waarabu na sultan na magaidi ila mkakubali kuunda SUK nao???? mambo yanabadilioa na majira and uhitaji!!!!Leo umebanwa na haja unaongelea ushirikiano.ACT walishapeleka barua UKAWA kuomba waingizwe lakini UKAWA wakamkataa Zitoo na ACT yake eti ni msali na kibaraka wa CCM.Huo ushirikano unaotaka leo hauwezekani duniani wala mbinguni kila mtu atakwenda na hesabu zake
hahahahhha mkuu ntaitwa mchocheziACT ina ngapi?
Nafasi tatu za upinzani zitachukuliwa na hawa wafuatao,Bi sonia CUF, Mnyaa CUF na Prof Mkumbo wa ACT wazalendo.Chadema na Nccr mtaisoma numberMnataka kuwarubuni tu ACT. Chadema nyie mafisi sana na wabinafsi wa kutupwa
Haina shida ACT siku zote ni wamoja na CCM. mnaofikiria kuileta ACT ukawa mmekosea sana ACT ni rahisi kushirkiana na CCM kuliko UKAWA.Nafasi tatu za upinzani zitachukuliwa na hawa wafuatao,Bi sonia CUF, Mnyaa CUF na Prof Mkumbo wa ACT wazalendo
kwa hiyo sasa Zitto sio msaliti tenahahhahahhha mbona mliwaita cuf chama cha waarabu na sultan na magaidi ila mkakubali kuunda SUK nao???? mambo yanabadilioa na majira and uhitaji!!!!
UCHAGUZI WA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKINimetafakari sana juu ya ukuaji wa Demokrasia na Nafasi ya Upinzani Imara Wenye Mshikamano na Umoja. Wakati huu kama alivyosema Mh Lema wakati wa Kongamano la ACT juu ya Azimio la Arusha, Ndio wakati wa Muhimu sana kuungana kuliko ilivyowahi kutokea. Namna gani tunaungani ni kwa kwenda na dhana ya give and take ili tufaidike lakini tujiimarishe kwa mstakabali wa kukuza demokrasia na kuongeza nguvu ya Mapambano. Bado hatujachelewa kutengeneza kitu kizuri chenye umoja. Ifikie pahalatofauti zetu na historia zitupe fundisho na tuzizike.
Tusipoangalia vizuri uchaguzi huu wa Wabunge wa East Africa utaacha umetugawanya kwelikweli na ikiwezekana kugawa hata UKAWA ili wafadhili wa Akina Bwana Yule Waendelee Kujenga nguzo za kubomoa Upinzani ambao ulikuwa unakua kwa kasi. Natumeshaanza kusikia Bwana Yule Karibuni Ataongeza nguvu ya Mjomba aliyeenda kupikwa kwenye Jungle. Mpaka imefikia Mjomba kutoka kwenye Jungle anasema Upinzani utakuwa umekufa kufikia 2020; Tungepiga picha ya mbeleni tungekuwa tumeona analenga nini.
Kama kanuni zinaruhusu na ACT na NCCR Mageuzi wawe na wagombea kwenye Bunge la Afrika Mashariki. Tukubaliene na Kugawana nafasi na mimi Sayansi Yangu inanituma Mgawanyo uwe hivi; Tuchukulie Nafasi Zile Tatu ni za Wapinzani na Wote Tuheshimu Uwakilishi Tulionao Tuitane na Tukae Pamoja na Kukubaliana kwamba. ACT na NCCR vyenye wabunge mmoja mmoja vitoe Majina Mawili halafu waje mbele ya wabunge wote wa Upinzani wajinadi halafu, wabunge wa Upinzani wapige kura apatikane Mtu mmoja ambaye vyama vyote viwili viridhie atakayeongoza ndo asimamishwe kugombea. Halafu zile nafasi mbili moja awepo Mgombea kutoka CHADEMA mmoja na Mwingine kutoka CUF mmoja. Na tutakachofanya sisi kama wapinzania tuwasilishe majina yetu hayo matatu tu. Tutakuwa tumeshinda fitina ya "Divide and Rule" Wagawe na Uwatawale.
Na Wagombea wetu watatu waende wakiwa ni wao tu na watapigiwa kura za ndiyo na Hapana na Ushindi Utakuwepo umefanyika Kimkakati lakini zaidi umoja uliokomaa miongoni mwa vyama vya upinzani utakuwa umeanza kujenga. Tusipofanya haya maana wapiga kura ndani ya Bunge si wabunge wa upinzani tu bali wabunge wote. Kuna Hatari ya kuamua kukomoana na kupandikiza Chuki ambazo hazipo. Yawezekana upande wa Pili wakajipanga kwamba Tupigie watu wa CUF tu na ACT ili CHADEMA ikose ili ujengwe mgogoro mwingine ndani ya UKAWA kuukomaza ule wa Bwana Yule na kuleta Mparaganyiko. Au Yawezekana wakaamua tumwangushe Mgombea wa ACT Wazalendo, Ili ACT aone anatengwa na Wenzie katika Upinzani na ageuke na kuwa Peke Yake. Yawezekana wakaamua tumpigie wa ACT au wa NCCR na wawili wa CHADEMA ili CUF waone wamehujumiwa na CHADEMA na hivyo kuleta Mgogoro kwenye UKAWA. Ebu Tushinde Kiakili na Tushinde kwa kuimarisha Mshikamano na Umoja.
Nimeandika haya ili tuone jinsi navyoweza kufumbwa macho na tukazalisha mparaganyiko na mwisho wa siku Bwana Yule na Mjomba aliyepo Mafichoni wakawa washindi na Upinzani Ukawa umefifia au umeanguka Ndembendembe kufikia mwaka wa 2020.
Hatujachelewa viongozi wote wa vyama vya upinzane na vyenye uwakilishi bungeni ebu kutaneni haraka kwa dharura, chagueni kujenga nguza na UKUTA Imara usioruhusu risasi nyepesi na ngumu kupenya kwa njia yoyote ile. Mtaniambia kama hamtachagua kujenga siko siyo chache nimeota limgogoro hilo likubwa linakuja. Mnakuwa mnapigwa hata kwa kiwembe na upinde wala haitahitajika risasi na mitutu kuwamaliza.
Mwisho na declare interest, Mimi ni Mkereketwa, Mwanachama na mwana mabadiliko kupitia CHADEMA
solution ni CHADEMA kujito kwenye huu uchaguzi waache dhuluma kwa vyama vingineuoga??? ssa chadema wabunge 70+ na halmashauri za kumwaga waone UOGA kisa viti vitatu???? mkuu hapa inaweza kuwa viti 3 ila vikaleta mgawanyiko wa miaka mingi maana kma ACT atapewa kura na ccm kwa misingi ya kukomoa chadema (ambacho ACT anategemea pia kimsaidie) italeta picha kuwa zitto ni ooportunist wa kisiasa ambaye yuko tayari kurisk chochote kupata maslahi yake na hapo tutazidi kujenga mgawanyiko kati ya ACT na wenzake bungeni ambako sio afya kabisa maana 2020 kigoma yote tutaipoteza kwa kugawana kura na za urais pia zinagwanyika!!! ssa huoni tunaweka upinzani rehani kwa sababu ya mtego huu wa EALA ??
usihesabie majimbo ya Zanzibar mkuu huko tunaelewa siasa zake zilivyo!majimbo ya ubunge cuf wana 37 chadema wana 35!! au uchaguz 2015 haukukuta tanzania??