manonawire
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 942
- 1,228
Unawataka ugomvi
hatari sanaWengi wanadanganywa na umri kuwa bado wanalipa ,umri ukipita wanaanza oooh Mimi siolewi Mara hvi kumbe wanajiroga wenyewe.
haha haeti hata makahaba walikuwepoHata kwenye biblia ya kale makahaba walikuwepo.
Hivyo wengine wapo ili wawe makahaba.
Sema usuria ndio wameukimbia siku hizi.
Ilitakiwa wengine wawe wasaidizi wa wake za watu.