Nitafanyia kazi ushauri wako asante.Sio mke huyo Bali hao ni wale wa kustarehe. Ulipaswa umweleze kwanza lengo lako la kuoa kabla. Cha msingi oa mke wa Pili kwa ajili ya Watoto huyo Bado sana. Ila usimwache. Na umweleze kabisa kua unaoa mke wa Pili kwa ajili ya kupata Watoto. Tena u mwambie unataka angalau Watoto 6 na kuendelea asilete upuuzi. Kama hawezi basi avumilie au aondoke kwa hiyari yake.
Mie mkristoUsikute hana kizazi huyo bi dada kwa hiyo anakutisha eti hataki kuzaa. Kama wewe ni Muslim oa mwanamke mwingine.
Sio mke huyo Bali hao ni wale wa kustarehe. Ulipaswa umweleze kwanza lengo lako la kuoa kabla. Cha msingi oa mke wa Pili kwa ajili ya Watoto huyo Bado sana. Ila usimwache. Na umweleze kabisa kua unaoa mke wa Pili kwa ajili ya kupata Watoto. Tena u mwambie unataka angalau Watoto 6 na kuendelea asilete upuuzi. Kama hawezi basi avumilie au aondoke kwa hiyari yake.
Haya pole basi inabidi uvumilie tu mpaka atakapokuwa tayari. Hapo hakuna namna ila sikushauri kupata Watoto Nje. Vumilia kaka ufuate dini Yako inavyosema. Unaweza kabisaMie mkristo
Mahusiano ya mwaka 1. Ndoa ina miaka 3Mna muda gani kwenye mahusiano yenu kabla ya Ndoa na ni Ndoa ya umri gani?
Pengine ni wakati wake wakujiendeleza kimaisha /kikazi hatopenda kuchanganya na uzazi.
Ongea naye kama rafiki ujue sababu kuu maana hizo ulizosema hapo juu hazina mashiko kwa kweli, uzazi ni zaidi ya kubadilisha nappy.