Kwa mawazo haya.Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri
Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN
Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada
Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,
Najua Tanesco wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli
Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Tena deni la kujitakia? Aisee, lilipwe!
You people of today, what's wrong with you!? Deni la kujitakia halafu unataka support ya nani? Eti uzalendo! Uzalendo au ujinga? Siwezi kumfariji mtu mjuaji, mbishi, mwenye hila, chuki na ukarumekenge! Never! Call me whatever name you like!Kwa mawazo haya.
Am sure hata waliolianzisha hili sakata hawakuwa na maana hii.
"" my country, whether wrong or right""
Hakuna nchi yoyote duniani isiyo na deni
Lakini si kwa mawazo haya kaka, punguza hasira, hapa unataka kutuharibia mtego wetu wa kuing'oa ccm madarakani 2020.
Kama hujui kuwakilisha nawazo, bora umuhadithie mtu akuwakilishie
Post of the day!Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri
Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN
Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada
Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,
Najua Tanesco wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli
Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Hahahahaaa! Hutoweza kumfanya lolote. Nitakuwepo kukushika akushughulikie kikamilifu hadi utoke ukiwa "mzito" tumboni!Mkuu mimi siku nikikutana na wewe maeneo nitakuingizia chuma kilichopashwa moto eneo lako usilopenda liguswe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bado umelala? Watu tuko ofisini muda mrefu ,possibly utakuwa wa kigoma au chato huko dunia inakoishia
Bavicha Maana yake ni uwezo mdogo wa kufikiri
Halafu mkuu, kuna deni kule Canada.Billions of money to pay for the "tt"! Lilipwe!Wafagiaji huwa wanaingia kazini Alfajir ili Wafanyakazi wakute ofisi zishapangika kwa ajili ya kazi
Visasi kiaje? Kwenye tangazo la bodi ya mikopo si anasema dawa ya deni ni kulipa? Tz ilipe deni la watuvisasi vya kijinga, endeleeni kuisakama nchi yenu wenyewe, jipendekezeni kwa mabepari
Ngw'ana Kabula
Style hiyo ndio serikali inatumia kudai madeni yake,Kanuni ya deni sio hivyo.hizo ni chuki mpendwa. Napata shaka km wewe ni mTz .toa hoja yenye mashiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu!mbona nchi inasakama raia wake yenyewe?visasi vya kijinga, endeleeni kuisakama nchi yenu wenyewe, jipendekezeni kwa mabepari
Ngw'ana Kabula
Hahaa... just... hahahaa mkuu Chama dolaMoisemusajiografii ahahaha...
Mkuu mahindi, usisikitike ya kwamba waridi lina miba. Bali furahi kwani miba imebeba waridi!Akili ya mbongo inamtosha mwenyewe tu.