Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri

Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN

Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada

Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,

Najua Tanesco wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli

Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Kwa mawazo haya.
Am sure hata waliolianzisha hili sakata hawakuwa na maana hii.

"" my country, whether wrong or right""

Hakuna nchi yoyote duniani isiyo na deni

Lakini si kwa mawazo haya kaka, punguza hasira, hapa unataka kutuharibia mtego wetu wa kuing'oa ccm madarakani 2020.

Kama hujui kuwakilisha nawazo, bora umuhadithie mtu akuwakilishie
 
You people of today, what's wrong with you!? Deni la kujitakia halafu unataka support ya nani? Eti uzalendo! Uzalendo au ujinga? Siwezi kumfariji mtu mjuaji, mbishi, mwenye hila, chuki na ukarumekenge! Never! Call me whatever name you like!
 
Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri

Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN

Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada

Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,

Najua Tanesco wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli

Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Post of the day!
Ngoja waje akina Petro E. Mselewa , tindo, jingalao, TUJITEGEMEE, MTAZAMO, Pohamba, masopakyindi, Richard.......................................................watakurarua kuwa huna uzalendo!........................................
 
Kumbe ndio maana huyu magu hataki kwenda nje ya nchi...!!
Trip zake ni za hapo kigal tu, anaogopa akienda ng'ambo atawekwa lupango...
kweli aliona mbali, maana sasa hivi angekuwa ameshapigwa mnada anatumikishwa kazi za ndani huko kwa waabeshi!
 
Back
Top Bottom