Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

Hii itasaidia huko mbeleni tusiwe tunaingia mikataba ya kishenzi shenzi ambayo baadaye tulazimika kuivunja kishenxi shenxi na hatimaye tunapigwa faini za ajabu ajabu, tulipe haraka ili madeni haya yaishe!
 
Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri

Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN. Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada

Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,

Najua TANESCO wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli

Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Ww upo nchi gani? Na utanufaika na nn tanzania ikiporwa mali zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mawazo haya.
Am sure hata waliolianzisha hili sakata hawakuwa na maana hii.

"" my country, whether wrong or right""

Hakuna nchi yoyote duniani isiyo na deni

Lakini si kwa mawazo haya kaka, punguza hasira, hapa unataka kutuharibia mtego wetu wa kuing'oa ccm madarakani 2020.

Kama hujui kuwakilisha nawazo, bora umuhadithie mtu akuwakilishie
Pumbavu jinga kabisa eti my country.. Kuiba muibe halafu mkikamatwa mnakimbilia karata ya uzalendo kwendraa wakamate tuu hadi muachie madaraka

Sent from iphone 7 plus
 
Mpumbavu aliyesema atauza Ikulu ya Magogoni akihamia kanda ya kati, eti utapata pesa.

Mpumbavu aliyesema kwenye kampeni kua wanafunzi wa vyuo vikuu akidahiriwa tuu hela ya mkopo atapata bila kumcheleweshea.
Lakini wanasota hapana wa kuwatetea

Mpumbavu na kipofu aliyesema vijiji vyote Tanzania vitapewa mamilioni ya pesa, sasa hivi ata yeye anashangaa kwanini alisema hayo.

Mpumbavu huyo mbaguzi wa kikabila na kikanda, mjinga wa mawazo ya kuona mbele.

Poleni sanaaa nyie mlio vizazi vya Nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Povuuuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri

Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN. Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada

Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,

Najua TANESCO wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli

Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Ushauri mzuri sana, hiyo ndo dawa ya kutokomeza udikteta uchwara.

Naic ikiwa hivyo baada ya muda wa madeni kwisha tutakuwa matajiri

dont cut a butterfly by using a panga
 
Kwa akili hizi lazima MKAPA aendelee kuwaita WAPUMBAVU na MALOFA,tena mbele ya media.
Wanaolipua ofisi za wanasheria kwa mabomu na kuharibu mali si WAPUMBAVU NA MALOFA.

wanaovamia vituo vya televisheni kwa silaha kali za kivita na kutishia waansindishi wa habari si WAPUMBAVU NA MALOFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom