Lucas Mganda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 245
- 165
nimelima mpunga huko katavi mpanda ekari kama 10 pia ninataraji kununua mpunga ili nihifadhi bei ikipanda nauza lkn juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja akaniambia kuwa kuna uwezekano serikali ikashusha bei ya vyakula je hii ina ukweli wowote?