kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 453
Usikawie kumjibu sms yake maana ukichelewa utaonekana unamtania.
Hata mimi nitakuunga mkono katika kumuadhibu.Isije ikawanai binti yangu tu.............. Nikikujua patachimbika.......................................!
Huenda hata tunda hatapewa hadi abadili dini.muahidi utabadili, mpe mimba alafu mwambie kama afuati dini yako unamuacha akifata unamuoa.
Isije ikawanai binti yangu tu.............. Nikikujua patachimbika.......................................!