Ushauri wako TV CARD internal vs external

Ushauri wako TV CARD internal vs external

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
Baada ya kukosa mechi za EPL kwa mfululizo wazo likanijia nitafute TV CARD niweze kuona TV channels kwenye TV. Sasa ipi ni nzuri na ambayo haina usumbufu kati ya TV CARD internal na external. kwa wenye uwelewa wa haya mambo.
 
Mkuu hiyo kitu ni nzuri tafufa External TV Card ya Epro au Lightwave ya USB 2.0 ila ;

1. Hadi mara ya mwisho mwaka jana mwanzoni hakukuwa na TV card yenye Built in Decoder so itabidi uwe na decoder
pamoja na Antenna yake.

2. Kwa nn usijichange mkuu ukanunua portable mobile TV zenye decoder esp za star times na zingine toka nje zenye
uwezo wa kustream tv channels.
 
baada ya kukosa mechi za EPL kwa mfululizo wazo likanijia nitafute TV CARD niweze kuona TV channels kwenye TV. Sasa ipi ni nzuri na ambayo haina usumbufu kati ya TV CARD internal na external. kwa wenye uwelewa wa haya mambo.

External ni nzuri kwa sababu ni portable na unaweza kuihamisha hamisha hata kwenye laptop.Tatizo la external inakuwa na RAM yake separate yaani haitegemei sana RAM ya computer yako,

hivyo picha inachelewa kidogo kulinganisha na TV ya kawaida au TV card ya internal(inarecord TV na kuplay bila wewe kujua).

Unaweza kusikia Goal kwa jirani yako wakati kwako mpira upo katikati ya uwanja.
Ila sio mbaya hata mimi nimeitumia sana kwa muda mrefu iko powa. nimetumia Litewave external TVBOx. tvbox.jpg
 
Mkuu hiyo kitu ni nzuri tafufa External TV Card ya Epro au Lightwave ya USB 2.0 ila ;

1. Hadi mara ya mwisho mwaka jana mwanzoni hakukuwa na TV card yenye Built in Decoder so itabidi uwe na decoder
pamoja na Antenna yake.

2. Kwa nn usijichange mkuu ukanunua portable mobile TV zenye decoder esp za star times na zingine toka nje zenye
uwezo wa kustream tv channels.

Kwahiyo mkuu sitaweza nasa local channels kama sina decoder? coz huku kwetu bado analojia inafanya kazi poa na kuna kituo flan cha television kinaonesha mechi zote za EPL.
 
ymollel
Mkuu umenitamanisha sana labda vina usumbufu wowote?
 
Last edited by a moderator:
zinapatikana wapi wakuu,ina maana hulipii chaneli zake.
 
kwahiyo mkuu sitaweza nasa local channels kama sina decoder? coz huku kwetu bado analojia inafanya kazi poa na kuna kituo flan cha television kinaonesha mechi zote za EPL.

Kama upo kwenye eneo lenye analog tv broadcast usiwe na hofu zinakamata kama kawa na fm radio kama kawa.
 
zinapatikana wapi wakuu,ina maana hulipii chaneli zake.

Kinachofanyika ni kuibadili computer yako kuwa na uwezo wa kuonyesha TV na kukamata redio bila kutumia internet. Kwa hiyo kama upo kwenye mazingira ya digitali ni lazima uwe na kingamuzi au dishi.
 
Kama upo kwenye eneo lenye analog tv broadcast usiwe na hofu zinakamata kama kawa na fm radio kama kawa.

sawasawa mkuu nimesha kiagiza tayari..
 
Mwenye maelezo mapana adadavue please

wewe uliza unataka kujua kuhusu nini?

kwa ufupi ni kwamba-;

kwa sasa maeneo mengi hakuna analog broadcast hivyo ukinunua tv tuner either internal ama external hakuna haja ya kuongeza resonator kwasababu hutategemea kutumia analog tv.

cha pili hakikisha unanunua tuner ambayo inauwezo wa ku display FULL SCREEN . kuna baadhi ambazo haziruhusu full screen especially zile USB TV STICKS. ni maalum kwa kurekodi na sio kutazama tv.
 
Back
Top Bottom