Ushauri wako tu

Ushauri wako tu

Codeblack

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
95
Reaction score
45
Heshima kwenu wana jamvi. Nina rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona si vibaya nikiwashirikisha juu ya jambo hili. Wapo watoto watatu katika familia yao ye ni msichana, pia wana kaa na mtoto mwingine wa kike wa dada yake mama yake ambaye amesha tangulia mbele ya haki. Tatizo limekuja kwamba amegundua kwamba huyu msichana ana mahusiano na baba yake na ameshindwa kumwambia mama yake kwa kuwa mama ana presha na amebaki asijue la kufanya. Pia hawajapishana sana kiumri kati yao. Ushauri wako afanyaje please ...
 
Kwamba mtoto wa marehemu Mama Mkubwa anatembea na Baba ? Makubwa, hebu mie mwenye akili fyatu ningemfuata huyo mtoto wa mamangu mkubwa nimweleze nijuacho na anipe msimamo yake kasha namvaa huyo ajiitaye babangu.............. kisha kitaeleweka baada ya hapo.
 
Daaah!
Sasa huyu ni kwamba anamwonea mama yake huruma ama anaona wivu kwa huyu rafiki yake ama anamwogopa baba??

AS FOR ME I WILL LEARN TO CLOSE THE WHITE STONES IN MY MOUTH............
Lakini nitamake sure kwamba she pays for what she is doing to my mother!!!!!!!!!!!

Yaani unaomba lift kisha unataka kupiga na honiii??? no way lazima ulipe!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahha nsee a muro kwamba nawe utalipa kisasi au? Ah mie ntahakikisha am becoming pain in their a.sses aisee, hakuna ataelala kwa amani kati yake na baba.................labda waamue kuyahamishia mapenzi yao haramu mbali na maisha yangu na mamangu.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wana jamvi. Nina rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona si vibaya nikiwashirikisha juu ya jambo hili. Wapo watoto watatu katika familia yao ye ni msichana, pia wana kaa na mtoto mwingine wa kike wa dada yake mama yake ambaye amesha tangulia mbele ya haki. Tatizo limekuja kwamba amegundua kwamba huyu msichana ana mahusiano na baba yake na ameshindwa kumwambia mama yake kwa kuwa mama ana presha na amebaki asijue la kufanya. Pia hawajapishana sana kiumri kati yao. Ushauri wako afanyaje please ...
Mwambie huyo binti awe jasiri kuongea na huyo ndugu yao kwamba anayaona wanayoyafanya na kama haachi atamueleza mama yake (hata kama hana nia hiyo), lakini pia aongee na baba yake kwa namna awezavyo ili baba ajue kwamba binti yake anajua, na pia amtahadharishe juu ya afya ya mama lakini pia heshima yake kwa majirani, mzee anaweza kuwacha.. huyu mzee sijui ana miaka mingapi huyu na akili zake sijui zina mawe..akh....
 
Hahahahha nsee a muro kwamba nawe utalipa kisasi au? Ah mie ntahakikisha am becoming pain in their a.sses aisee, hakuna ataelala kwa amani kati yake na baba.................labda waamue kuyahamishia mapenzi yao haramu mbali na maisha yangu na mamangu.

Mimi wala sitamgusa baba yangu as AMENIZAA AND AM WORTH HIS ENERGY AISEEE!!!!!!!!
SO sitakiwi hata sikumoja kumuabisha hata kama kakosea nini I SHOULD STAND TO PROTECT HIS DIGNITY AND MANHOOD AS WELL AS NOT TO HURT MY MOM!!!!!!!
Nitadeal na huyu aliyeomba lift...............huyu lazima angelipa ubaya wake tena KIMYA KIMYA yaani sitatumia nguvu nyingi nitaenda nae kama vile namsukuma mlevi..

Yaani mimi huwa ninaroho mbaya sana and wiping somebody from this life is also possible if needs arises!!!!!!!!
 
You are very right my dear........Baba ni baba. Tofauti yangu ni kuwa alishatupa huo uhuru tangu miaka hiyo kuwa mkubwa akikosea msemeshe kwa adabu. Usimwogope. Nawaza tu huyo unaesema mdandia lifti akinijibu kuwa yeye kafatwa na kutongozwa kama alivyofuatwa na kutongozwa mamangu nitamjibu nini? Kuwa kosa lake ni kwa nini alikubali sio? Na je iwapo alilazimishwa na kutishiwa? (ama sivyo atafukuzwa akaendelee kuwa yatima?). Sijui bwana but mie nimepoteza imani kwa kiumbe aitwaye mwanadamu mwenzangu anawezafanya chochote chini ya jua hili. Tena wazazi wetu wennyewe wa siku hizi?
 
Najaribu kuvaa hivyo viatu, hata havinitoshi lol! Ningeshalianzisha siku nyingi hapo home, naogopa sijui nn kingetokea wengine tuna hasira mbaya
Mwambie huyo binti awe
jasiri kuongea na huyo ndugu yao kwamba anayaona wanayoyafanya na kama
haachi atamueleza mama yake (hata kama hana nia hiyo), lakini pia aongee
na baba yake kwa namna awezavyo ili baba ajue kwamba binti yake anajua,
na pia amtahadharishe juu ya afya ya mama lakini pia heshima yake kwa
majirani, mzee anaweza kuwacha.. huyu mzee sijui ana miaka mingapi huyu
na akili zake sijui zina mawe..akh....
 
You are very right my dear........Baba ni baba. Tofauti yangu ni kuwa alishatupa huo uhuru tangu miaka hiyo kuwa mkubwa akikosea msemeshe kwa adabu. Usimwogope. Nawaza tu huyo unaesema mdandia lifti akinijibu kuwa yeye kafatwa na kutongozwa kama alivyofuatwa na kutongozwa mamangu nitamjibu nini? Kuwa kosa lake ni kwa nini alikubali sio? Na je iwapo alilazimishwa na kutishiwa? (ama sivyo atafukuzwa akaendelee kuwa yatima?). Sijui bwana but mie nimepoteza imani kwa kiumbe aitwaye mwanadamu mwenzangu anawezafanya chochote chini ya jua hili. Tena wazazi wetu wennyewe wa siku hizi?

Yaani kwangu she shld pay fofr her mistakes!!!!!!!!!!!
alitongozwa alipaswa kusema, alitishwa pia angesema manake kungemweka huru manake najua kabisa dingi kuingia kitaa muhimu na siwez kumuuliza!!
sasa huyu womba lift lazima ajue kwamba ameingia na bangi na bangi polisi..........NA HII NI KIMYA KIMYA
 
Wote ni washenzi wa tabia.....kila mtu anaongozwa na shida zake hapo.Huyo binti utakuta huduma na hilo babu tamaa za papuch za ujana.Amvae huyo binti amwambie alikadharika na huyo baba yake ajue kuwa huo uchafu hautakiwi kufanyika hapo hom.
Kama vp huyo demu ahame wagongane huko.....!ila mama lazima atajua coz timbwil la asha ngedere hapo.
 
Mmmh! Mababa zetu wengine sjui wakoje! Kama wanakunywa GONGO vile, ptuuu...!
 
Najaribu kuvaa hivyo viatu, hata havinitoshi lol! Ningeshalianzisha siku nyingi hapo home, naogopa sijui nn kingetokea wengine tuna hasira mbaya
kwani na kwenu yametokea kama hayo mkuu..??
 
Heshima kwenu wana jamvi. Nina rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona si vibaya nikiwashirikisha juu ya jambo hili. Wapo watoto watatu katika familia yao ye ni msichana, pia wana kaa na mtoto mwingine wa kike wa dada yake mama yake ambaye amesha tangulia mbele ya haki. Tatizo limekuja kwamba amegundua kwamba huyu msichana ana mahusiano na baba yake na ameshindwa kumwambia mama yake kwa kuwa mama ana presha na amebaki asijue la kufanya. Pia hawajapishana sana kiumri kati yao. Ushauri wako afanyaje please ...

.....aongee kwanza na huyo binti "ukweli" anaoujua, na kama atakiri... Amuonye!

Lakini?.... What if, insecurities ndizo zilizompelekea huyo binti kufanywa kimada wa baba'ke wa kufikia?
Huenda naye ni victim wa child abuse!

All in all.... Mkosa mkubwa katika kesi hii ni huyo baba.
 
Mimi wala sitamgusa baba yangu as AMENIZAA AND AM WORTH HIS ENERGY AISEEE!!!!!!!!
SO sitakiwi hata sikumoja kumuabisha hata kama kakosea nini I SHOULD STAND TO PROTECT HIS DIGNITY AND MANHOOD AS WELL AS NOT TO HURT MY MOM!!!!!!!
Nitadeal na huyu aliyeomba lift...............huyu lazima angelipa ubaya wake tena KIMYA KIMYA yaani sitatumia nguvu nyingi nitaenda nae kama vile namsukuma mlevi..

Yaani mimi huwa ninaroho mbaya sana and wiping somebody from this life is also possible if needs arises!!!!!!!!

Mdogo wangu nadhani hujajua vizuri jinsi mapenzi yalivyo ya ajabu,kwa kufanya hivyo unaweza kujenga uadui mkubwa sana na baba yako,maana huyu muomba lifti anaweza kumweleza baba,na kwa kuwa wewe hujamkabili baba ukashangaa unaundiwa zengwe ambalo hata halipo.
 
Binafsi nadhani baba ndio mkosaji mkubwa,Sasa hapo cha kufanya ni kuandaa mazingira upate ushahidi wowote,halafu jitahidi uwawekee ushahidi huo bila kujua ni nani aliyeuweka,pia kuwa makini ili mama asije akaupata huo ushahidi.Na wakati unauweka hakikisha itawajengea picha kuwa aliyeweka huo ushahidi ni mwana familia.Hiyo itawapa mashaka na wasi wasi as watajua wamegundulika ndani ya familia,lakini mtu huyo anawatunzia siri na anawapa onyo.
 
Hapana mkuu, hayajawahi kutokea, i try to imagine kama ndo yangetokea lol!
okay.. it is hard to react especially with our African dads, super powers!!
 
Mababa wengine hata sifa ya kuitwa baba hawana kabisa.
 
Hapo kama ni mimi nawaita pamoja baba na huyo binti nawashauri nakuwatishia kwamba mkirudia nawasemea kwa mama au tutakaa kikao ndugu wengine

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom