Ushauri wako tu

Ushauri wako tu

Mdogo wangu nadhani hujajua vizuri jinsi mapenzi yalivyo ya ajabu,kwa kufanya hivyo unaweza kujenga uadui mkubwa sana na baba yako,maana huyu muomba lifti anaweza kumweleza baba,na kwa kuwa wewe hujamkabili baba ukashangaa unaundiwa zengwe ambalo hata halipo.

hahahah! broda!!! seems you didnt get me well dude!!

as nilivyosema I'LL PLAY IT COOL DUDE!!!!!!!!! to me killing smbdy sio ishu kabisa tena kimya kimya yaani ukija kuhamaki haupo.
Thats me!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom