Ushauri wako plz

kobonde

Senior Member
Jan 6, 2010
154
19
Niko nje ya nchi kwa muda wa miaka 5 sasa, hivyo basi sijui biashara gani inalipa kwa wakati huu.So mwenye ideal naomba anishauri ili niweze kumuwezesha bi.mkubwa(mama) maana kila biashara anayo fanya inakufa
 
mtaji wako kiasi gani?
biashara hizo zinazookufa ni za aina gani?
una ozoefu na biasharaipi?
 
Uzoefu wangu ni kukodisha gari. Biashara anazofanya ni za kusafiri mara nyingi ni nguo na wakati mwingine chakula. Mtaji hula anahitaji 1milion.
 
Ninachofikiria kukushauri naona aibu kwani bila umeme ni vigumu. Si unajua tuko gizani?
 
Pole sana.tatizo siyo biashara .tatizo n mfanyabiashara.Bi Mkubwa wako anafanya biashara akiwa hana wasi wasi wala woga wa kufilisika,anajua kuwa ana mtoto aliye nje ya nchi anayejali.(trust me i have been in ur shoes-and it doesnt feel good)
Tafuta vitendea kazi vya ujenzi .eg concrete mixer,shindilia,au machine ya terrazo. kama una uwezo or gari la kubeba zege.hivi ni vitu vya kukodisha na vinalipa.na ukirudi after hiyo miaka5 utavikuta.
Biashara za kusafiri zinahitaji kijana na asiye na matumizi makubwa.watu wazima sometimes wanasaidia ndugu zako kwa pesa ya biashara akijua kuwa wewe upo na utatuma tu Dola/Pound or Euros. :)
 
Ahsante sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.

mfungulie biashara isiyomwitaji yy kusafiri mfano duka la bidhaa au duka la hadware au umnunulie vifaa vya kukodisha kama maturubali, viti nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom