ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
wait one week kwanza ili bodi watoe majina,then hicho chuo hata ukipata 100%bas ujue unaongeza ada 1.5M kwa mwaka,,hivyo vyuo vya private sio vya kukimbilia kabisa
Thankx kaka kwa ushauri thankx much....
but wewe ucwe na waswas,hii wiki lazima bodi watoe majina
Thankx kaka kwa ushauri thankx much....
Itakuwa poa sanaaaa kaka hivi nikichelewa ku report chuo huwa hawazinguiii
Hivi uongozi Institute kinausika na shuguli gani ?
Ccm inaua ndoto za vijana wengi sana,pesa ambayo ingelipia vijana wetu wasome vyuo imeteketezwa BMK ambapo ile katiba wange-edit hii ya 77 na kuiprint upya maana hii walioyoitoa haina tofauti na hii ya 77,pesa imeteketea kwenye tume ya warioba! Pole vijana ambao mnaumiza vichwa!
CC: Tema Mate
registration ni two weeks,so kuvuta wiki moja sio issue,na pia vyuo vya private havina ujanja wa kukataa wanafunzi,but kwa wiki moja hawazingui coz deadline haijafika
Ndio ukubwa uo, ukimaliza form six waanza kupata matatizo hujawahi kuyapata
Sija kuelewa kaka hilo ni jina la chuo o kuna kitu una manisha
jina la chuo\taasisi tena ya serikali ipo dsm
Nenda chuo hayo mengine muombe Mungu coz nina uhakika hukuchaguliwa chuo kwa bahati mbaya Mungu anamakusudi na Maisha yako na ndio maana akasaidia ukachaguliwa chuo. Mtegemee sana Mungu na ung'ang'anenae haswa maana kwenye bible anasema atakaenitafuta kwa BIDII ataniona. Don give up fanya maombi na ikiwezekana nenda kwa Mtumishi wa Mungu wa kuaminika akakuombee nawe uzidi kumsihi Mungu Chuo utasoma tuuu. Mungu ananjia nying sna za kukusomesha anaweza akafungua milango pengine hata pesa ya mkopo usiihitaj tena. So chukua hatua ya Imani na Ufanye hvyo.
Habarini wakuu.... kesho ni tarehe 6/10/2014.... siku ambayo university of bagamoyo usajili na orientation course inaanza kama sikosei.... kutoka na maelezo ya join instruction yao ni kuwa orientation course itaanza tarehe 6 hadi 15/10/2014..... na wanataka wanafunzi wotr kujisajili katika office zao zilizo kawe karibu na radio times fm....na ili usajiliwe kwa watu wa science inabidi uwe na 1.75M.....hiyo ni nje ya hostel kwa semister ya kwanza....sasa hostel nimeambiwa ni laki saba.... jumla inatakiww niwe na 2.45M mahitaji pamoja na matumizi.... nauli toka kijijini kwetu na vingne vidogo vidogo ni zaidi ya hapo...na nyumbani tupo watu wawili mimi na kaka angu tunao hitaji pesa hizo....baba na mama ndo vileee..... nimejaribu kusubiri mkopo naona bado haujatoka na cjui hata kama watatoa nitapata au nitakosa haya sasa kesho chuo cjajianda hata na lolote hapa coz hadi sahizi cjajua tufanyaje.....nipo hapa kuomba ushauri wako nifanyaje ili kesho au kesho kutwa nieende chuo je nisubiri board ya mikopo au.....iwejeee nisi ende chuo mm kwanza ili bro aendeee au vipi hapo hapo kuna dogo yupo o-level ndo kwanza form 1 na analipa ada zaidi ya 1M....guyz naombeni ushauri nifanyajeeeeeee???? Kesho chuoo
Kma kuna mwingine ni university wa bagamoyo tujuane hapa tujue mambo ya hostel yana kuwaje au una ndugu ako nipe namba ake mm nitamtafuta tufahamiane tujue kule maisha yata kuwaje
KARIBU