Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,823
- 27,694
Sisi wakristo huwa hatupigani kwa nguvu za mwili na nyama, Biblia hasa Yesu anaagiza kwanza tuwaombee mema wale wanaotuudhi na kuacha kisasi kiwe cha Mungu, sio chetu, vita vyetu ni kwa njia ya maombi kwa sababu anayepigana sio sisi, ni Mungu hivyo omba kwa Mungu apigane mwenyewe.
UFANYAJE SASA? Ninashauri usishindane na serikali, fanya ibada nyumbani kwako. HOW? fanyeni ibada kwa njia ya mtandao, bado unaweza kuwa na wafuasi kwa njia ya mtandao. Tengeneza mahubiri, sambaza kwa njia ya mtandao, kuna x (ambayo wameifungia ila inapatikana kwa VPN.), instagram, facebook na whatsapp, waumini sambazieneni mahubiri kwa whatsapp, facebook, twitter x na instagram. kwa njia hiyo mnaweza kufikia waumini wengi kuliko hata wale ambao wangefika kwenye majengo waliyowapiga stop msikusanyike.
MWISHO: Lindeni brand ya Yesu, msifanye fujo, Mtu aliyeokoka huwa hafanyi fujo, huwa anapiga maombi rohoni Mungu aamue. hivo msopigane kimwili, msilazimishe mambo kimwili, msifanye fujo, mtachafua Jina la Yesu, lindeni brand ya Jina la Yesu ambaye hapendi fujo. Mungu awabariki.