Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

ham ha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
283
Reaction score
48
Habari wataalam,

Naomba kujuzwa kuhusu flat screen bora na nzuri kulingana na hivi vitu huwa vinanichanganya LCD na LED pia nimesikia kwa watu kuna smart 4 na 5 na pia brand gani ni nzuri kuliko zingine.

Napenda kujuzwa ipi ni bora kwa kuangalia vitu hivo hapo.

Asanteni
 
Msaada tafadhali nataka ninunue sasa nashindwa kujua ipi bora.
 
Nimeamua kuachana na TV-chogo.... nataka kununua flat screen... wadau wenye kuzijua vizuri... je! aina gani ni nzuri? kwa hapa Arusha zinapatikana duka gani? bei yake tafadhali?
 
nimeanua kuachana na tv-chogo....nataka kununua flat screen...wadau wenye kuzijua vizuri..je aina gani ni nzuri?kwa hapa arusha zinapatikana duka gani?bei yake tafadhali?

kuwa makini na maduka ya pale stand na yale maduka madogomadogo.. wanauza samsung na LG. ambazo ni clone.

Bora ununue TCL au Singsung kwa bei poa sio mbaya. mimi nimetumia singsung Led haijaniangusha kabisa.

kuna TV za samsung clone huwezi kutambua kama ni feki tatizo lake kubwa hazina audio output.
 
Kwangu mimi hakuna TV zaidi ya Samsung, rangi ipo clear sana na zinadumu!

Inategemea na toleolenyewe zipo samsung zina picha ambayo si angavu.

Ukiiangalia peke yake ni nzuri lakini unapoilinganisha na nyingine unagundua picha sio quality.
 
kuwa makini na maduka ya pale stand na yale maduka madogomadogo.. wanauza samsung na LG. ambazo ni clone.

Bora ununue TCL au Singsung kwa bei poa sio mbaya. mimi nimetumia singsung Led haijaniangusha kabisa.

kuna TV za samsung clone huwezi kutambua kama ni feki tatizo lake kubwa hazina audio output.

Nitawezaje kutambua hizo clone mkuu.???
 
Jamani wakuu nahitaji kununua flat tv iwe kati ya sony bravia sumsung au LG inchi 32 anaejua bei zake anisadie au anejua duka lolote linalouza original kwa hapa DSM.
 
Back
Top Bottom