angalia hii picha hapaChief umeniacha njia panda naomba ufafanuzi
Chief kwa hiyo nikiweka battery ya kawaida inayoingiliana sawa na bettery org ya simu ila kubwa ki uwezo badae simu itanenepa kama hivyo kama ndivyo nibora tu nisitishe uo mpangoangalia hii picha hapa
![]()
hio ni simu imeongezwa ukubwa wa battery, imekuwa nene kuliko ilivyokuwa mwanzo.
batter inavyozidi kuwa kubwa ki mah ndio inavyozidi kuhitaji nafasi kwenye simu.Chief kwa hiyo nikiweka battery ya kawaida inayoingiliana sawa na bettery org ya simu ila kubwa ki uwezo badae simu itanenepa kama hivyo kama ndivyo nibora tu nisitishe uo mpango