Ushauri: Wabunge wanaomiliki silaha (bastola)wawe wanaruhusiwa kuingia nazo ndani ya jengo la bunge

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Hii itasaidi hata zile dharau dharau za kurushiana vijembe na kuitana tumbili au profeser rubish maana kila mmoja atakuwa anamuheshimu mwenzake.
Nimewasilisha
 
Hii itasaidi hata zile dharau dharau za kurushiana vijembe na kuitana tumbili au profeser rubish maana kila mmoja atakuwa anamuheshimu mwenzake.
Nimewasilisha

Bungeni wanapambana kwa hoja na siyo silaha.Wakiruhusu itakuwa ni uwanja wa mapambano ya kivita
 
Back
Top Bottom