Naona hoja ya kurusha matangazo ya bunge TBC live nape ameangalia mambo mawili
1. Kupunguza gharama alizozitaja za bilionl 4 kwa mwaka ili zisaidie masikini.
2. Kuwapa watumishi wa umma kuudumia wananchi maana mimi mwenyewe leo nimeingia ofisi moja ya umma watumishi wanaangalia TV hawana habari na sisi tunaotaka huduma.
2. Nipo Kigoma vijiwe vyote tangu jana unakuta vimejaa vijawa wanaangalia bunge hawataki kufanya kazi na badara yake wanalia umasikini.
Lakini kwa ushauri wangu kwa Nape, japo yapo mengi lakini swala la gharama naona wabunge wanaopiga kelele wakatwe posho zao maana ni kubwa sana katika kubana matumizi ili hizo pesa zilipie gharama za kurusha matangazo na hizo bilioni 4 zipelekwe kwenye kaya masikini kuwasaidia.