Ushauri wa Web Design and Development, na Systems Development

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
web-design-development.jpg

Habari za leo,

Je, wewe ni mwanafunzi wa sekondari (A-level, au O-level) na unataka kuzama katika fani ya web design and development?

Je, wewe ni mwanafunzi chuoni, na unakaribia kugraduate, au bado upo chuoni kwa muda, lakini una njozi ya kufanya masuala ya web design and development?

Je umesomea VETA, ukapata basics za web design and development, na una haja ya kuingia kwa kina zaidi?

Je, upo uwanjani, lakini kuna vitu ambavyo huvielewi, au unatafuta namna ya kupractice kwa njia tofauti na ulivyokuwa ukifanya hapo awali? Au unataka kutumia technique za kisasa kutengeneza website kwa uwepesi zaidi na kwa gharama ndogo?

Basi usihofu, uzi huu ni kwa ajili yako. Kuwa huru kuuliza swali lolote. Nimekuwa uwanjani tangu 2010, na nitatumia uzoefu wangu kutoa msaada. Natambua kuwa kuna kaka zangu na dada zangu katika hili, nao pia ntawakaribisha kuchangia.

Karibu sana.

************************************************************************************************

In English:

Web/Systems Design and Development Career Advice

Are you a high school student who has an eye on pursuing a career in web design and development, but don't know what to do, or the career path to take?

Are you a college student, still studying or almost graduating, and would know what to expect in the field of web and software design/development?

Are you a VETA student who has gotten the basics of web design and development, and would like to take your career more seriously with the aim of making a breakthrough in this potential field?

Or are you a beginning professional who seeks to know the methodology to wade deeper into the waters of making life easier through sustainable software? Do you want to know tools that make web development faster and more affordable, as well as get smart ways to offer turnkey solutions that will better the digital landscape in Africa?

Then worry not, am here for you. I've spent 8 years in the field, have made mistakes, and will use the experience I've gotten to help you find your way. Ask questions and get the conversation going, am all ears (and so are many other abler/more established professionals in the field)
 
Ahsante kiongozi wa J script, CSS, HTML n.k
Maswali yanakuja
 
Kaka.. Natafuta online sms gateway ambayo ni affordable kutumia , inaweza kutumika via rest API na ambayo inaruhusu modification ya sender ID.. in your experience what can you suggest.. Nataka kutuma tu messages.

Msaada wako bro. Thanks
 
Hajui kitu huyo kuhusu SMS gateways.
Utamuonea bure.
 
Kaka.. Natafuta online sms gateway ambayo ni affordable kutumia , inaweza kutumika via rest API na ambayo inaruhusu modification ya sender ID.. in your experience what can you suggest.. Nataka kutuma tu messages.

Msaada wako bro. Thanks
Hello Codefucious
Asante kwa kufuatilia uzi huu. Ni na mpango wa kuanza mwingine unaohusiana na SMS gateways, lakini kwa haraka naweza kukujibu hivi:

Kwanza naomba ufafanue ulichomaanisha uliposema "ambayo inaruhusu modification ya sender ID". Alafu ntajua cha kusema...

Kuna gateways mbili ambazo nimekuwa nikizifuatilia kwa karibu. Nazo ni:

1. Bongo Live: Bongo Live is a Bulk SMS and Mobile Solutions Provider
Hii ina umaarufu, na nimeona wana API (Loading...).
Gharama zao ni ndogo (TZS 25 kwa kila sms kwa kuanzia, baada ya signup ya TZS 150,000), na wanapatikana kirahisi kwa njia ya simu. Kuhusu kubadilisha sender ID, nnachojua ni kuwa una uhuru wa kusajili sender ID bila gharama ya ziada, baada ya kulipahiyo initial fee.

2. Africa's Talking: Africa’s Talking – Communication & Payments APIs for Africa
Hawa wana presence kubwa zaidi, na pia wana sandbox unakoweza kutestia na kuona app inavyofanya kazi. API yao pia inajitosheleza. Wana vitu vingi zaidi, ikiwemo USSD. Changamoto yao kubwa ni gharama (TZS 40 kwa sms moja).
 
Shukran kaka umeeleweka.

Nikisema modification ya Sender ID namaanisha uwezo wa kuweka Sender ID ili message inayotumwa kutoka kwenye service ikifika kwenye simu ya recipient haioneshi number inaonesha ile sender ID uliyo specify.. Nadhani unaelewa maana nimeona umeiongelea pia.

Ngoja nizipitie izo ulizoorodhesha
 
vipi kwa wale app and systems developers kama wapo njoo tuTeam up nina ideas za kufanyia kazi kwenye paper!
 
BongoLive na Africas Talking wanafanya hivyo. Unaweza kuspecify senderID au namba. Wajaribu ujihakikishie
Shukran kaka umeeleweka.

Nikisema modification ya Sender ID namaanisha uwezo wa kuweka Sender ID ili message inayotumwa kutoka kwenye service ikifika kwenye simu ya recipient haioneshi number inaonesha ile sender ID uliyo specify.. Nadhani unaelewa maana nimeona umeiongelea pia.

Ngoja nizipitie izo ulizoorodhesha
 
View attachment 964366
Habari za leo,

Je, wewe ni mwanafunzi wa sekondari (A-level, au O-level) na unataka kuzama katika fani ya web design and development?

Je, wewe ni mwanafunzi chuoni, na unakaribia kugraduate, au bado upo chuoni kwa muda, lakini una njozi ya kufanya masuala ya web design and development?

Je umesomea VETA, ukapata basics za web design and development, na una haja ya kuingia kwa kina zaidi?

Je, upo uwanjani, lakini kuna vitu ambavyo huvielewi, au unatafuta namna ya kupractice kwa njia tofauti na ulivyokuwa ukifanya hapo awali? Au unataka kutumia technique za kisasa kutengeneza website kwa uwepesi zaidi na kwa gharama ndogo?

Basi usihofu, uzi huu ni kwa ajili yako. Kuwa huru kuuliza swali lolote. Nimekuwa uwanjani tangu 2010, na nitatumia uzoefu wangu kutoa msaada. Natambua kuwa kuna kaka zangu na dada zangu katika hili, nao pia ntawakaribisha kuchangia.

Karibu sana.

************************************************************************************************

In English:

Web/Systems Design and Development Career Advice

Are you a high school student who has an eye on pursuing a career in web design and development, but don't know what to do, or the career path to take?

Are you a college student, still studying or almost graduating, and would know what to expect in the field of web and software design/development?

Are you a VETA student who has gotten the basics of web design and development, and would like to take your career more seriously with the aim of making a breakthrough in this potential field?

Or are you a beginning professional who seeks to know the methodology to wade deeper into the waters of making life easier through sustainable software? Do you want to know tools that make web development faster and more affordable, as well as get smart ways to offer turnkey solutions that will better the digital landscape in Africa?

Then worry not, am here for you. I've spent 8 years in the field, have made mistakes, and will use the experience I've gotten to help you find your way. Ask questions and get the conversation going, am all ears (and so are many other abler/more established professionals in the field)
Mkuu upo wapi
 
Back
Top Bottom