Ushauri wa Short Course

Ushauri wa Short Course

halimbaya

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
63
Reaction score
15
Habari wakuu wa jukwaa la elimu.Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Accounting and Finance.Nimemaliza mwezi uliopita,natarajia kufanya CPA May mwakani.Naomba ushauri wa short course ambayo ninaweza kusoma kwa kipindi hiki ambacho bado sijapata kazi.Short course ambayo itaadd value kwenye bachelor yangu.Naona huu muda nisiutumie bure kwa kukaa tu.
Asante sana.
 
Back
Top Bottom