Ushauri wa ndoto ya kuwa motivation speaker

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Habari ndugu.

Mimi ni kijana mdogo umri kati ya miaka 19~21 lakini dhumuni langu la kuja hapa nahitaji ushauri wenu kwa kuwa nimekuwa na hali ya kukubalika na jamii ya watu yaani namaanisha kunielewa pindi ninapowashauri kuhusiana masuala mbalimbali ya kimaisha kwa wanafunzi wenzangu na hata watu wasio na elimu tu.

Hivyo kwa hali hiyo nimekuwa nikitamani kuwa motivation speaker hapo baadae nikifanikiwa katika elimu yangu lakini nataka nianze ndoto(vision) yangu kwa majaribio(practise) kuanzia sasa hivyo ningependa kujua vitu gani ufanye ili utimize lengo

NB:kwa watakao nishauri nisingependa lugha za maudhi na kejeli
 
penda sana kufuatili motivational speechs za watu ambao wapo kwenye tasnia uipendayo,kama vle akna erick shigongo,paul mashaur na wengneo,then soma xna vtabu kama vle rich dady poor dady,8 habits of happy millioner,develop ur self confidenc nk
 
asante sana kwa ushauri unaweza ongeza.
 
Habari ndugu.

Mimi ni kijana mdogo umri kati ya miaka 19~21 lakini dhumuni langu la kuja hapa nahitaji ushauri wenu kwa kuwa nimekuwa na hali ya kukubalika na jamii ya watu yaani namaanisha kunielewa pindi ninapowashauri kuhusiana masuala mbalimbali ya kimaisha kwa wanafunzi wenzangu na hata watu wasio na elimu tu.

Hivyo kwa hali hiyo nimekuwa nikitamani kuwa motivation speaker hapo baadae nikifanikiwa katika elimu yangu lakini nataka nianze ndoto(vision) yangu kwa majaribio(practise) kuanzia sasa hivyo ningependa kujua vitu gani ufanye ili utimize lengo

NB:kwa watakao nishauri nisingependa lugha za maudhi na kejeli
If you feel it, just start speaking. Seek average platforms and speak. if what you speak is really motivational, you are will automatically be one. Soma sana na hudhuria makongamano ya namna hiyo.

By the way, unamaanisha nini kusema una umri kati ya miaka 19-21? Hauna uhakika na umri wako au ndio ile kasumba ya watu kuogopa kutaja umri wao halisi? Jina umetumia bandia, sasa kutaja umri halisi unaogopa nini?

Anyways, best wishes katika kutimiza ndoto zako.
 
Kuficha umri kawaida lakini asante kwa ushauri wako
 
Mkuu kwani hujasoma hesabu? Kujua umri wake halisi tafuta average ya (19+21)/2 =20yrs
 
Naombeni ushauri wa zaidi na zaidi ili nione mwanga najua humu ndani kuna watu wenye proffesional mbalimbali
 
Back
Top Bottom