Aache woga. Tuliopo mjini wengi tumetokea kijijini. Si kila anayetoka kijijini anakuwa limbukeni wa maisha. Ns si wote wa mjini wapo kama kina Gigi. Nina swali. Wanaume huwa hawaoi wanaowapenda? Au anayehitajika ni mwenye sifa za kuwa mlinzi wa nyumba?