Chukua note 5 na chenji inabaki, au Galaxy S7 na cheji inabakiHabari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
Mkuu vyuma avijakaza kwa kila mtu we pambana na hali yakoIvi bado mpaka Leo kuna mijitu inatamaa ya kununua simu za bei wakat Vyuma vimekaza.
Embu msaidie Mama yako kule kijijin apalilie mahindi yake.
Nunua simu ya kawaida just iwe na uwezo kiasi.
Naamin laki mbili ukinunua Techno yeyote ya bei hizo utapata kila kitu. Na storage ni GB 16 tu
We unafikr kila mtu vyuma vimekaza[emoji3]Ivi bado mpaka Leo kuna mijitu inatamaa ya kununua simu za bei wakat Vyuma vimekaza.
Embu msaidie Mama yako kule kijijin apalilie mahindi yake.
Nunua simu ya kawaida just iwe na uwezo kiasi.
Naamin laki mbili ukinunua Techno yeyote ya bei hizo utapata kila kitu. Na storage ni GB 16 tu
G series or V series
Chukua Infinix Note 4pro 32 gbHabari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
IPhone 6Habari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
Huyu itakuwa wa Bukoba sio karatu[emoji2] [emoji2]Chukua itel p51 au tecno spark k7 na change inayobaki mtumie bibi yako kule kijijini karatu
Ivi bado mpaka Leo kuna mijitu inatamaa ya kununua simu za bei wakat Vyuma vimekaza.
Embu msaidie Mama yako kule kijijin apalilie mahindi yake.
Nunua simu ya kawaida just iwe na uwezo kiasi.
Naamin laki mbili ukinunua Techno yeyote ya bei hizo utapata kila kitu. Na storage ni GB 16 tu