Ushauri wa kununua gari

Ushauri wa kununua gari

MDK

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
132
Reaction score
31
Habari wana JF, naomba mwenye uzoefu wa gari aina ya Freelander anifahamishe nataka kuinunua ila nimesikia kuwa zinachemsha ( yaani kuwa haziwezi kwenda long safari). ni kweli??
 
Mie sio mtaalma sana.
Ila hizi gari vimeo,na ndio maana unaweza kukaa njiani siku nzima usione hata moja inapita na ikipita ni ya Serikali kama zile Hyundai.
Labda watu watakuja wakupe aina au model nzuri ya gari hizi.
 
Habari wana JF, naomba mwenye uzoefu wa gari aina ya Freelander anifahamishe nataka kuinunua ila nimesikia kuwa zinachemsha ( yaani kuwa haziwezi kwenda long safari). ni kweli??

za mwaka 1998 mpaka 2004 zilikuwa na reliability problem.....nakushauri ununue kuanzia 2005 iwe td4 uta-enjoy very nice medium sized 4x4
 
za mwaka 1998 mpaka 2004 zilikuwa na reliability problem.....nakushauri ununue kuanzia 2005 iwe td4 uta-enjoy very nice medium sized 4x4
Nashukuru sana mkuu
 
Naomba kutoka nje ya mada kidogo kwa ruhusa ya ndugu mleta hoja:

Jana bungeni nimesikia kua gharama za uchakavu wa magari yanayoagizwa kutoka nje ya nchi itaanza kutozwa kuanzia magari yenye umri wa miaka 8 na kuendelea badala ya ile ya zamani 10 na kuendelea.

SWALI: Je hili utekelezaji wake utakuwa kwa kila gari itakayopitia bandari za Tanzania kuanzia mwaka mpya wa fedha wa serikali (1/7/2014) regardless ni lini gari hiyo ilinunuliwa kutoka nchi husika au itakuwa ni kwa zile gari zilizonunuliwa kuanzia tarehe tajwa tu?
 
Back
Top Bottom